inauzwa

Elijah

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,663
416
habari wandugu,gari hiyo hapo juu inauza ni toyota saloon,engine ni 3s,cc 1998,mwaka 1998,bei ni wewe toa tu offer yako.
 
Attachments

  • DSC02954.JPG
    DSC02954.JPG
    1,020.8 KB · Views: 58
  • DSC02956.JPG
    DSC02956.JPG
    1,012.9 KB · Views: 54
  • DSC02957.JPG
    DSC02957.JPG
    1.1 MB · Views: 47
Mbona umeweka picha zinazoibua mashaka kwa wateja? unakuwa kama hujiaminiamini maana gari lenyewe unaoneka kuna sehemu unazifichaficha wateja wasizione. Weka full picha upande zote za gari, yaani kulia kushoto, nyuma, mbele ikiwezekana na injini ionekane. Hata wateja tukiamua kuku PM tuwe tayari sura ya gari tunaijua vizuri.
 
mkuu nakuPM picha zote,tafadhari

Similar Discussions

Back
Top Bottom