Inauma sana kumpenda mtu asiyekupenda

poppah

JF-Expert Member
Dec 19, 2014
630
547
Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajajihangaisha kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae unarudi bado unaona kimya hajakujibu.

Lakini ukitizama Watsapp unaona yuko online busy akichati na kubadili DP na status.

Unabaki ukijiuliza ana chat na nani mpaka asizione meseji zako na kuzijibu?
Unabaki ukiendelea kujiuliza umemkosea nini?

Unaanza kujiambia kuwa labda amekuchoka. Inauma sana kupuuzwa na mtu umpendae kwa moyo wote.

Je unajua kuna uwezekano nae anapitia kipindi kigumu kama hicho? Sawa anaweza akakwambia anakupenda au amekumiss, lakini anae mtu mwingine ambae anampenda haswa.

Unavyohangaika kumpigia, kumtumia meseji na asizijibu nae aweza kuwa anafanyiwa hivyo na ampendae.

Anamtumia meseji, anamcall lakini nae simu zake hazipokelewi kama wewe. Nao wanapitia magumu kama wewe!

Kufikia hatua hii, unafikiri kukata tamaa juu ya huyo mtu lakini inakuwa sio rahisi. Unafikiri kumuacha huyo mtu, kumblock hata kum "unfriend" fb lakini bado unaona moyo wako bado unampenda. Na unamatumaini ipo siku atarudi.

Kila muda unapotaka kuichukua simu yako unaomba Mungu ukute meseji yake lakini ukishika tu simu unakuta meseji ya TIGO wakikukumbusha kulipa deni ulilokopa kwa ajili ya muda wa maongezi.

Unajikuta unaichukia simu yako na unamchukia kila mtu anaye kuongelesha, unatamani uipasue simu vipande vipande!

Lakini kwanini ifikie hatua hiyo? Kwa hali kama hiyo inaonesha kabisa wewe hupendwi labisa. Kwanini upoteze muda wako kumpenda mtu asiyekupenda?

Hata iwe vipi maisha lazima yaendelee
 
Na inauma zaidi kumpenda mtu asiyekupenda halafu akawa anampenda mtu mwingine.
 
Kupenda ni maradhi ambayo.....mgonjwa anayapokea yeye mwenyewe kwa mikono miwili alafu baadae anahangaika kuyatafutia dawa na asiipate........

Watu wengi wanadharau baadhi ya dalili zinazoonyesha wazi kuwa huyo mpenzi wake hampendi.....lakini kwa kuwa hawako kwenye hali ya kawaida wanaamua kuishi kwa matumaini kuwa huwenda siku mambo yatakuwa poa........

Ukweli ambao wengi wanaukimbia ni kuwa MTU KAMA HAKUPENDI NI HAKUPENDI TU.......jifunze kupambana na hali hiyo na utakuwa poa kuliko kuhangaikia penzi....
 
“Hakuna haja ya kukata tamaa na kujiona
kuwa huna thamani katika mapenzi yako
kwakuwa tu kila mahusiano uanzishayo
hayawi na mwisho
mzuri au ulioutarajia, maisha ya mapenzi
ni maisha dhalimu muda mwingine.
Unaweza
kukutana na mtu sahihi katika muda usio
sahihi,na unaweza kukutana na aliyesahihi
katika muda usio sahihi. Unachotakiwa
kufanya si kukata tamaa bali kuwa makini
na muda na unaokutana nao. Kila mtu
anapacha wake hapa duniani,inapotokea
umekutana na pacha wa mtu, ndipo shida
na matatizo huanzia hapo. ATAKUJA MTU
KATIKA MAISHA YAKO ATAKAYEKUFANYA
UGUNDUE KWANINI HUKUDUMU NA
ULIOACHANA NAO”
 
So sad..ndo maana sometimes tunaamua kuweka na kufanya safari..wakitoka nje tayari ni ex.
 
Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajajihangaisha kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae unarudi bado unaona kimya hajakujibu.

Lakini ukitizama Watsapp unaona yuko online busy akichati na kubadili DP na status.

Unabaki ukijiuliza ana chat na nani mpaka asizione meseji zako na kuzijibu?
Unabaki ukiendelea kujiuliza umemkosea nini?

Unaanza kujiambia kuwa labda amekuchoka. Inauma sana kupuuzwa na mtu umpendae kwa moyo wote.

Je unajua kuna uwezekano nae anapitia kipindi kigumu kama hicho? Sawa anaweza akakwambia anakupenda au amekumiss, lakini anae mtu mwingine ambae anampenda haswa.

Unavyohangaika kumpigia, kumtumia meseji na asizijibu nae aweza kuwa anafanyiwa hivyo na ampendae.

Anamtumia meseji, anamcall lakini nae simu zake hazipokelewi kama wewe. Nao wanapitia magumu kama wewe!

Kufikia hatua hii, unafikiri kukata tamaa juu ya huyo mtu lakini inakuwa sio rahisi. Unafikiri kumuacha huyo mtu, kumblock hata kum "unfriend" fb lakini bado unaona moyo wako bado unampenda. Na unamatumaini ipo siku atarudi.

Kila muda unapotaka kuichukua simu yako unaomba Mungu ukute meseji yake lakini ukishika tu simu unakuta meseji ya TIGO wakikukumbusha kulipa deni ulilokopa kwa ajili ya muda wa maongezi.

Unajikuta unaichukia simu yako na unamchukia kila mtu anaye kuongelesha, unatamani uipasue simu vipande vipande!

Lakini kwanini ifikie hatua hiyo? Kwa hali kama hiyo inaonesha kabisa wewe hupendwi labisa. Kwanini upoteze muda wako kumpenda mtu asiyekupenda?

Hata iwe vipi maisha lazima yaendelee
.....very true ....mkuu kwa maisha ya sasa hivi...hususani vijana.....and pia.....inauma....ni bora........uache liende tyuuu coz kuna sehemu nyingine upo unahitajika tena kwa haraka zaidi........!!!!! "SOMETIMES WE MUST LET THESE THINGS GO,AND LOOK FOR BETTER PLACE WITH BETTER AND GOOD ALTITUDE "
 
Kumpenda mtu asiyekupenda ni sawa kukumbatia kaa la moto.....
Kazi ya moyo imebainishwa kabisa basi tu binadamu hatuambiliki ila sio mbaya maana kabla ya hii mitandao watu walikuwa hawana platform ya kusemea matatizo ni makubwa kuliko fikra zetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom