Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
Kwanza walifanya "kukatazwa kumpiga picha" kuwa ni newsAlafu kesho yake wanaenda kumuwinda pale Tanesco, alipokuwa mbele yenu mkashindwa..shame shame shame..hawa ndio wasaliti wakubwa..wanajiita mhimili wa nne lakini mafedhuli na wala rushwa tu.. RA aliwakatia MSHIKO wasilete za kuleta hapa.
Pili, wakampiga picha akikagua majenereta ya Rostam, wakafanya ile picha ndo news!!
Nina problem na hawa Daily nation (Mwananchi na Citizen) kuna kitu huwa nashindwa kukielewa vizuri.