Inatosha sasa kwako wewe kuwa kama guest (mgeni) humu jf zaliwa upya 2012 kwa kuwa member

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,089
829
Habari zenu wakuu hope wote mko na afya njema mkiwa na matumaini ya kufikia mwaka 2012 , kwa kipindi kidogo nilichopo humu jamiiforums kwenye kila post nigundua idadi kubwa ya watizamaji na wachunguliaji thread ni wageni(guests) basi ni ombi langu kama mdau karibieni kwani kujiunga ni bure ili tuweze kuikoa hii nchi yetu inayolekea kusikoeleweka
kwa pamoja tunaweza nawatakia heri ya mwaka mpya 2012 wenyewe neema na baraka
 
Back
Top Bottom