Inatosha jamani: Napinga huu uvumi.

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
GGA FUNERAL

A Tanzanian family was puzzled when the coffin of their dead mother arrived from the US . It was sent by one of her daughters. The dead bodywas so tightly squeezed inside the coffin that the face touched theglass lid!

When they opened the lid, they found a letter on top, which read as follows: "Dear brothers and sisters, I am sending our mother's body to you for burial, since it has always been her wish to be buried in the compound of our ancestral home in Machame.

Sorry I could not come along as I have been denied leave at work since we are short staffed this month. You will find inside the coffin, under Mama's body, 12 cans of cannedfish,10 packets of Royco soup and 8 tins of hot chocolate. Please divide these among yourselves. On Mama's feet, you will find a new pair of Reebok shoes size 9 forMushi's eldest son. Also, there are 2 pairs of shoes for urasa's and kwayu's daughters. Hope the sizes are correct.

Mama is wearing 6 American t-shirts. The large size is for Manka and the others are for my nephews. The 2 new Levis jeans that Mama is wearing are for the boys.
The Swiss watch that Lightness wanted for her 21st birthday is on Mama's leftwrist. Aunt Rebeka, Mama is wearing the necklace,earrings and the ring that youasked for. Please take them.

The 6 white cotton socks that Mama is wearing must be divided among my teenage nephews. Please distribute all these accordingly and if anything more is required, let me know since our Pappa is also not doing well nowadays. Your loving sister!!

Mama Manka
 
Amma! kama hufanyi wewe wanafanya wensi...wensio ati. Ifi unapinga nini? uo si ufumi aisee...weulisa wensio walio nje ya nji.
 
lekana nao wakyeluonea sana na ichi ni mboru wana wama mlateme nao mfiri ucha na mndumi awatarame
 
Nduli, kuna watu wa sehemu zingine hata huwasikii wakitajwa.
Kwa sababu hakuna cha kusema.
Sasa kwa waChagga wanaviona ila hawajui namna ya kuvielezea. Hawathubutu kusema waChagga wanafanya kazi kwa bidii. Au mChagga aliweka vitu kwenye kontena akatuma nyumbani.

Kulasuo pfo ndao! Lekana!
 
Hii siyo kweli kabisa ila ninakumbuka nina kumbuka ilitoka kwenye kijitabu cha majambos/utani kilichokuwa kinaandikwa na Hilary Ngweno [Kenya] miaka ya 1979-1985 kama sikosei ikitusanif shida tulizokuwa nazo kipindi kile hasa baada ya kuwaita man eat man society nao wakaja na man eat nothing society. siku zile ilikuwa kila kitu shida na kwa dsm ilikuwa likionekana gari la 'Ugawaji' ilikuwa haina haja kujua wanatoa nini bali nikujiunga kwenye mstari basi ikiwa ni sukari au sembe ilikuwa sawa tu
 
Hata mimi napinga!
Wanatuonea sana bana!

Dah pole mpwa, ukiona hivi ujue mpo juu wenye wivu wanawasakama na wenye viroho vya jiba.

Hawaoni vitu vingine vya kuandika na kulalama? manka! manka! sangawe! sangawe!

Dah poleni mpo juu mpwa waacheni waendee kuchonga

Au Kyachakiche, Iteitei lya kite, nyivonduma........ Ili mradi watuseme tu!!!:mad::mad:

Leo naona umechukia sana

Waniache kabisa nitapiga mtu panga

Hahahahaha usiombee ukutane na wale wa Tarime oooh
 
haaaaaaaaaahaaaaaa ni kweli babaangu, mie nilisaidia kumvua t-shirt ilikuwa kazi kwelikweli:D
 
lekana nao wakyeluonea sana na ichi ni mboru wana wama mlateme nao mfiri ucha na mndumi awatarame
Aika sana mkeku/mmeku.

Wanasema mti wenye matunda sharti upopolewe mawe...wacha waseme....
Hehehe! Wapi mbege? folya na mseseve kabisa! Ria kidoko......... Aika mbe.

aika sana
Aika mae.

Kulasuo pfo ndao! Lekana!
Aika mhandisi okwo!

haaaaaaaaaahaaaaaa ni kweli babaangu, mie nilisaidia kumvua t-shirt ilikuwa kazi kwelikweli:D
:mad::mad::mad:
 
Back
Top Bottom