Inasikitisha

jockey emmanuel

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
330
50
Napenda kuwasalimu wakubwa wote wa jf na kupokea salamu kutoka kwa wadogo zangu wa jf {ingawa nahisi hakuna mdogo wangu hata mmoja}.....nilipokuwa home 4 my easter holiday...nilimeet na rafiki yangu anayesoma sec government xcul....aliponitel abt their xcul nilihisi ni ndoto....kwani nimezoea kusikia tu...anasema kuwa,chemistry hawajaanza hata topic ya kwanza,geography wapo the first topic....maths haielezeki....history bado hawajamaliza form two topics.....mengine ndo wanajiburuta na tuition....nikauliza kwanini,akasema kwasababu walimu wapo 8 na wanafunzi wapo 400 na kitu,shuleni kwao hata mtu akivaa nguo za nyumbani..twende tu....ndala shwanga....akaniomba sana mwezi wa sita nimfundishe angalau topics za chemistry tu...sasa kwa hali hii tunajenga taifa gani then mwishowe tunawalaumu wanafunzi kuwa hawasomi?napenda kuwashauri wanafunzi wote wa sec wasome na kutafuta personal materials na si kutegemea ticha coz kwa hali hii hatutafika.MUNGU ATUSAIDIE SANA.NAPENDA KUWASILISHA HOJA WANAJF:A S cry:
 
Back
Top Bottom