Inasikitisha sana!! Jamani Nchi Yangu!!

Madabwada

JF-Expert Member
May 8, 2009
541
314
wakuu, kuna mdau ame-forward hii email kwangu nami nikaona ni busara pia kuitundika jamvini ili wote tuone udhalimu wanaofanyiwa watanzania wenzetu wasio na sehemu ya kutoa kilio chao wakasikika ... sikuwahi tegemea kama hali ya North Mara imefikia hivi ... inasikitisha sana tena sana .... Tanzania nchi yangu unaelekea wapi na unyama huu dhidi ya pesa na ulafi wa viongozi wako?? its so inhuman!!

northmara1.png



Dear Colleagues and partners,



Greetings from North Mara in Tarime.




I wish to share with you some photos of the current situation in North Mara. Rev. Magafu and I have been assessing and identifying the victims of the last year’s and ongoing waste ponds spillage at North Mara gold mine.



New cases of the victims are coming up with symptoms that are vivid and the situation is alarming. Two cases, though, needs immediate medical attention and action. This involves Mama Otaigo from Weigita village and Paul (8 year old boy) from Nkerege village.



The situation we have found them in is far different from when we met them during the health screening done in January 7th 2010. Their health state is deteriorating from day to day. I am attaching their current photos for your review.



As the governments still remains silent on this matter attempts to get referral letters from government health facilities have proved abortive and therefore we need to act as soon as possible to save the lives of those who are critically ill.



An appeal is made to all of you to act in your different capacities.



Kind regards,



Chacha












northmara5.png
 
Kabla hawajamaliza kuzitumia fedha hzo pini itawakwama nakulipia choz la kila mtanzania. Inauma sana. Ee Mungu tukumbuke wanyonge.
 
too bad......,sisi tu ndio tunaoyaona haya ....viongozi wetu wala hawayaoni kabisa haya......
 
and we keep quiet... spending most of our time talking of lots soft messages and sentiments

tbadilike
 
Mbunge wa huko ni nani?? Hawa ndo wabunge tunaowachagua wanakwenda kupiga tu usingizi bungeni, si ajabu hajawahi hata kupita huko aone hiyo hali. Its long way to go real.
 
Ni ya siku nyingi lakini naona solution yake bado haijapatikana (so far). Waweza ungana nao katika http://www.foundationhelp.org. Shida yake ni kwamba hasemi exactly what plans he has na anaweza kusaidiwaje. Volunteers pia wahitajika.
 
Mkuu Ahsante kama unavyoua tena ili Jamvi halilali Njaa, Mpendwa alituwekea na tumeziona.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom