Inasikitisha kama kweli kuna wanaoipenda CCM toka moyoni....!

Wana jf wenzangu,

kwa kweli inasikitisha sana kuona mtu anaipenda CCM kwa moyo wake wote..........! Hivi mtu kama huyu tumfanyeje jamani, unajua anatia hasira sana.............maisha magumu, mambo hayaendi, viongozi wakiwemo wabunge wao wanatukana wapiga kura wao................sijui nisemaje mnielewe, lakini hapana CCM tuiweke pembeni.

Kama Zambia waliweza..................Senegal waliweza, kwa nn sisi Watanzania Tushindwe?

Lets decide guys!

Hallo mawazo yako ni mazuri lakini Tanzania ina asilimia kubwa ya maiti zinazo ishi.
 
Huwezi kulinganisha zambia na senegal na sisi ktk demokrasia[/COLOR]! sisi tupo nyuma saana saanah ktk kila nyanja!na hata ikitokea matokeo ya kura kuibiwa hata tukiandamana utaona ulaya magharibi na USA watakaa pembeni , hawatafanya usuluhuhishi kama ilivyo kwa Ivory Cost na Kenya.

wewe ulitegemea umasikini walionao watu wa Igunga CCM ingeshinda? Au unemployment rate kubwa mikoa ya kusini 99% ya wakazi wa huko hawana kazi na muda wao wa kushi ni miaka 45 lakini CCM ina nguvu huko kuliko mahala popote Tanzania. wao watu wa kusini au watanznaia hatukichambui chama kiuchumi na madhala ya chama kutojua kujenga uchumi bali masikini wengi mikoa ya kusini na Igunga tabora Rukwa na singida hushabikia bendera ya chama tuu bila .

Tabora ina watu milion moja na laki tano na ina 99% unemployment rate ingawa wana zalisha asari nyingi na ni wakulima sana , lakini hakuna hata kiwanda cha kuwatafutia watu kazi. hata kiwanda cha soda hakipo! Cha bia hakipo! Ila mkoa huo una nguvu za CCM kupita kiasa, kwa sababu watu hawakiangalii chama kimafanikio ya kiuchumi ila wao . kwa mtaji huo CCM itatawala milele mshikaji!nembo ya jembe na Nyundo tuu!

Umenena vema. Mkuu kinachosikitisha hapa Jukwaani ni watu wasomi kuwa wanafiki; wale wanaopindisha ukweli kuwa uwongo. Kwa mtindo huu wa Tz, tutabaki kuwa maskini hadi mwisho wa dahali.
 
still ccm better kuliko kumpa dj mbowe na slaa

kuipenda ccm lazima uwe na mtindio wa ubongo.
siamini kama kichwa chako kinafanya kazi vizuri, hata kama ccm wanakulipa mamilioni ya fedha kwa kazi ya kuandika ujinga wako hapa jf, lakini naamini hauutendei haki moyo wako na nafisi yako, kama hautaki kubadilika, utaachwa mwenyewe ccm. The end is very near.....together we can bring changes.
 
Kwa hiyo CCM kwa makusudi kabisa wametufanya maskini hili tusijitambue tuko wapi na watutawale milele. Kwa hali hii ni Mungu tu anaweza kutukomboa wajamani maana hali ni mbaya.
 
wacha watu washabikie chama wanachotaka, uhuru wa kuchagua itkadi ya kisiasa ni sawa na kuabudu, kila mtu ana lake.
 
Back
Top Bottom