Elections 2010 Inasemekana Wenje alikataa mil 900 za kumwachia jimbo Masha!

wENJE WA NYAMAGANA ALIKATAA THS 800 MILIONS NA GARI MPYA AMBAZO ANGEPEWA KAMA ANGEKUBALI KUSHINDWA KATI YA HIZO ( MILION 300 MASHA ANGETOA NA 500 MILLION JK ANGETOA) JK ALISHINDA PALE NYAMAGANA KUTWA NZIMA KUWEZA KUNUSURU HILIO JIMBO. LAKINI WANANCHI WALIPATA HIZO TAARIFA NDIPO KARIBU WATU ELFU KUMI WALIKUSANYIKA NA KUMWAMBIA WENJE KAMA ATAZIPOKEA BASI SHINGO YAKE NA FAMILIA YAKE WATAONDOKA. NDIPO WENJE IKABIDI AFYATE MKIA.​

Uzushi! Submit evidence please!
 
NI TETESI AU NI KWELI? 900 mills....!

who knows?? .... !!

Mahesabu said:
ENYI CHADEMA.....URAISI HAUFANYIWI MAJARIBIO.....SIO KUWA MBUNGE KWA VIPINDI VIWILI UTOSHE KUONGOZA NCHI........kama ambavyo JK 1995 hakutosha kuwa rais kwani nafasi alizoshika hazikukidhi vigezo....UBUNGE NA UWAZIRI aliokuwa nao bado haukuwa uzoefu tosha........!bado hujakomaa kuingoza TZ Slaa NZANIA YETU....muulize msomi mwenzako LIPUMBA aliyedhani usomi ni urais

Mahesabu said:
WADHAMINI 1.3M SI HABA........ gawanya kwa mbili utapata idadi ya kura....!
 
sasa huyu Wenje anakili gani, mpaka apigiwe kelele na watu ndio akatae fungu!!!! naomba hii iwe habari ya uongo!
 
Huu mtindo ndo unatumika kenya, wananchi wakikuchagua au wakiona unawafaa halafu ukarubuniwa na walafi wa madaraka ukawasaliti, basi jua wewe either nyumba yako na familia yako yote zinatiwa motoau mwenyewe ukimbie, ndo maana kenya kuna heshima kwa mtu anayegombea!
 
Tetesi kwamba Arusha nayo yalitakakutokea hayo, sasa sijui Lema alikuwa gangari au Freeman alipofika hapo na kuchimba mkwara mzito ikabidi haki ya watu iheshimiwe, Umati uliokuwepo ni aliyeona tu, njia ya kwenda central ilifurika watu, njia ya kwenda mnara wa saa ilifunga pia. Pangetangazwa Batilda pangetokea maafa, ashukuruwe Mungu aliyeepusha hayo maana mwandamu kwa msukumo wa tamaa angepokea fedha.
 
sasa huyu Wenje anakili gani, mpaka apigiwe kelele na watu ndio akatae fungu!!!! naomba hii iwe habari ya uongo!

Wenje hakukataa kwa sababu ya kelele za watu, ila angepokea mambo yangemgeukia!
 
Ni uöngo mtupu kama hamna chakusema kaenikimya,wenje alikua hana hata sentitano hata picha zakampeni alishindwa kuchapisha,eti amekataa mil800 uzushimtupu
 
Ivi kama mtu anadiriki kuhongwa ela zote izo then kuwa Mbunge itakuwa kama project fulani ivi
 
wadau bado hajaelewa kilichoendelea huko sege dansi?ni aibu tupu yaani kama itabainika kuwa mpendazoe kakitoa chama muhanga iatabidi atupwe baharini ni jiwe afungiwe shingoni
 
nguvu ya uma imejidhihirisha tanzania mwaka huu.....na kwa uzoefu majimbo yenye CCM kushindwa huchelewesha matokeo sana ili waweze kuchakachua vizuri....watanzania wenzangu mwaka huu mmefanya kazi ya ziada sana mmeonyesha nguvu ya uma inaweza.............
 
Hali kama hii ilitokea Arusha. Edward Ngoyai Lowasa alitoka jimbini kwake alikokuwa anagombea akaja Arusha mjini kumsaidia swahiba wake Mama Batilda wakajaribu kumshawisha Mshindi wa CHADEMA Bw Lema bila mafanikio ndio wananchi walipoona Msimizi wa manispaa haelewi wakampigia Mh. Mbowe akaja na kikaeleweka. Ni aibu kwa ccm wakishindwa kuchakachua watumia hela.
 
NDO MAANA NAIPENDA SIASA......."siasa ni gazeti la udaku la wasomi".......KWENYE SIASA KILA GOSSIP UTAIPATA.....!
 
watu wanahangaika tu asiyemsifu KIKWETE kukuza Demokrasia atakua na matatizo ya akili. Ingekua ndugu aliyepita hata msingeona chadema wanpata kura hata moja kidume kinataka nchi watu waone mabadiliko. kama wangetaka kuchakachua wangeweza ulizeni kabla chaguzi zilizopita ilikuwaje. mshukuruni Mungu kwa ujasiri wa kikwete kutufikisha hapa
 
Huko Arusha Lema aliwekewa Kitita cha Milioni 300 kisha zikapanda kua Milioni 600 kisha Milioni 800 na hata kuzidi hapo. wananchi wakamwambia akizipokea tuu kicha chini. ilibidi viongozi wa juu wa chadema waje kusevu jahazi. haya yote yalikua yakifanywa na fisadi wa Monduli. Hivi huyu fisadi anamchukua huyu mama nini??
 
Huna ushahidi kama mama hana milion 800, amekaa waziri zaidi ya miaka kumi na hujui business zake. Okay tukubali dogo amekataa milion 800 atazipata wapi miaka mitano itaisha ataambulia prado ya milion 19 kama ya mwl wa IAA, na nyumba Moshi. nyie mnaota unajua kama wewe ukiwekewewa milion hamsini za elfu tano tano unachanganyikiwa ETi mia nane na walizibeba kwenye nini au alikua anawakopesha wakitoka ndo awadai wampe hundi?
 
Alichokifanya Wenje ni cha kijasili sana na ndicho alichotakiwa kukifanya, lakini yeye kama Wanje hajaonyesha ujasili huo maana mpaka kapata sinikizo la wananchi ndiyo anatoa maamuzi ya kuto chukua 800 Million na gari jipya je, kama si wananchi kwenda pale angetoa maamuzi hayo? mimi nimemdauti uongozi wake ingawa hatua aliyoichukua naifagilia sana.:nono::nono::nono::nono::nono: ni mapema sana kwake kupewa jaribu la rushwa na kuanza kufikilia kama akubari au akatae, ilikua ni pale kwa pale tu, nendeni na mihela yenu kuzimu na msirudi tena kwisha, (Huo ndio mtazamo wangu wa Wenje
 
Wenje tungemkata kichwa sio masihara kabisaaaaaa, mtaji wa chadema ni vijana na siku ile waliacha shughuri zao wakaenda kupiga kura na kisha kusimamia matokeo kisha auze ushindi weeeeeeeeeeeeeee sasa hivi angekuwa amebatizwa jina la marehemu,peoples powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.
 
Back
Top Bottom