Elections 2010 Inasemekana Wenje alikataa mil 900 za kumwachia jimbo Masha!

Sugu, aliahidiwa Milioni 300! Akawatolea nje kwa kuwaambia siwezi kuwasaliti wana Mbeya. Na lazima nifike Bungeni kuwaeleza wananchi kiini cha mradi 'hewa' wa Malaria na Biashara inayofanyika ndani ya Jengo letu tukufu (Ikulu)
 
Taarifa zisizo rasmi zinasema JK alikuja Mza kujalibu ku'rescue' situation, na moja ya mbinu mbovu iliyotumiwa baada ya zote kugonga mwamba ilikuwa akubali kupokea kiasi hicho ili JK atimize azma yake ya kumapisha Masha kwa mara nyingine tena kama alivyoahidi kwenye ufunguzi wa campaign! Bwana mdogo Wenje aliwajibu kuwa waende kuwapa kiasi hicho wananchi waliokuwa na hasira nnje ya fenci, wakikubali, basi yeye angeachia jimbo hilo. Wakati huohuo, wapiga kura walikuwa wameahidi kuwa endapo Wenje angekubali hongo basi angekuwa nyama yao na kwa kuanzia wangeimaliza familia yake!
Na baada ya tafrani kuanza, mpango ulikuwa kuteketeza jiji la Mza kwa kulipua vituo vya mafuta vilivyopo jijini kitu kilichowafanya jeshi la polisi kushinikiza kutangazwa kwa matokeo!
Can u imagine, how far can ccm go to ensure it remain in power! ccm is :evil::evil::evil::evil:

mtikila anakiita chama cha majambazi...

huo ndiyo ujambazi wenyewe!!!!!
 
Yes we are so powerful when we choose not be bought by either gold or diamonds, I like what Wenje and Nyamagana citizens have done
 
wENJE WA NYAMAGANA ALIKATAA THS 800 MILIONS NA GARI MPYA AMBAZO ANGEPEWA KAMA ANGEKUBALI KUSHINDWA KATI YA HIZO ( MILION 300 MASHA ANGETOA NA 500 MILLION JK ANGETOA) JK ALISHINDA PALE NYAMAGANA KUTWA NZIMA KUWEZA KUNUSURU HILIO JIMBO. LAKINI WANANCHI WALIPATA HIZO TAARIFA NDIPO KARIBU WATU ELFU KUMI WALIKUSANYIKA NA KUMWAMBIA WENJE KAMA ATAZIPOKEA BASI SHINGO YAKE NA FAMILIA YAKE WATAONDOKA. NDIPO WENJE IKABIDI AFYATE MKIA.
 
wENJE WA NYAMAGANA ALIKATAA THS 800 MILIONS NA GARI MPYA AMBAZO ANGEPEWA KAMA ANGEKUBALI KUSHINDWA KATI YA HIZO ( MILION 300 MASHA ANGETOA NA 500 MILLION JK ANGETOA) JK ALISHINDA PALE NYAMAGANA KUTWA NZIMA KUWEZA KUNUSURU HILIO JIMBO. LAKINI WANANCHI WALIPATA HIZO TAARIFA NDIPO KARIBU WATU ELFU KUMI WALIKUSANYIKA NA KUMWAMBIA WENJE KAMA ATAZIPOKEA BASI SHINGO YAKE NA FAMILIA YAKE WATAONDOKA. NDIPO WENJE IKABIDI AFYATE MKIA.​
 
Hizi tetesi leo mmezitoa wapi.......................i said this even before uchaguzi he was offered 900mil kukubali Masha ashinde nilichoona ni kula ban kwa post ile leo hiii mbona haili ban au kwakuwa kisha shinda
 
Kama ni kweli! Mh! CCM inazidi kunichefua! Kwani lazima Masha awe mbuge? Nawapongeza hao wananchi kwa kumchimba Wanje mkwala!
 
Jamani hivi ni kweli? basi kuchakachua urais ni waziwazi
Eee Mungu wasamehe maana hawajui walitendalo.
Na tunamuomba Mungu kama kuna wizi uliotokea
basi na waaibishwe mara moja walioiba kura
 
Haya yoooote ya uchakachuaji
tunayoyasikia yanawasha masikio yetu na vichwa vyetu vinazunguka :bowl::bowl::bowl::bowl:
Mungu tusaidie:nono::nono:
 
JK na kundi lake wawe na utu, milioni 800 ni nini? kuuza utu wako na wananchi waliokuchagua? ukiangalia kwa ukaribu kama mbunge akifanya kazi yake vizuri na kuwatumikia wananchi hayo marupurupu kwenye miaka 5 au 10 ni zaidi ya hiyo hela.
 
Kuchakachua uraisi hata waangalizi hawajafurahishwa kabisa. Fuatilieni muone yule mzee wa NEC anavyotoa matokeo. Ukiuliza matokea ya majimbo megine utasikia matokea hayajatufikia, vipi mbona majimbo wanayotangazwa CCM kushinda matokeo ya uraisi yakuwaje yamewafikia. Ni dhana potofu kufikiri kuwa watanzania ni wapumbavu!
 
kuchakachua uraisi hata waangalizi hawajafurahishwa kabisa. Fuatilieni muone yule mzee wa nec anavyotoa matokeo. Ukiuliza matokea ya majimbo megine utasikia matokea hayajatufikia, vipi mbona majimbo wanayotangazwa ccm kushinda matokeo ya uraisi yakuwaje yamewafikia. Ni dhana potofu kufikiri kuwa watanzania ni wapumbavu!

what goes around comes back around
 
JK na kundi lake wawe na utu, milioni 800 ni nini? kuuza utu wako na wananchi waliokuchagua? ukiangalia kwa ukaribu kama mbunge akifanya kazi yake vizuri na kuwatumikia wananchi hayo marupurupu kwenye miaka 5 au 10 ni zaidi ya hiyo hela.

Pls dkn,

Do not say so my dear. Hata kama hakuna marupurupu, hata kama ubunge ni bure, hakuna heshma kubwa kama kuaminiwa na watu. Hakuna ulinzi mkubwa kama amani moyoni itokanayo na mawazo yasiyochakachuliwa. Hata kama mtu angepewa billions, kamwe, asiuze utu wake. Hata kama ulikuwa unagombea udiwani, kamwe usiuze utu wako; ukifanya hivyo, adhabu yako haitasubiri utoke duniani, believe me or not.
 
Tumefanyiwa mizengwe ya ajabu sana ndugu zangu. Computer zinagoma maeneo yenye upinzani tu. Yale ya CCM computer hazigomi.Tujipange vizuri kwaajili ya 2015. Lakini nashauri wanasheria wa Chadema wajipange namna ya kupinga matokeo kwa majimbo ya Segerea, Shinyanga Mjini n.k
 
Jamini nasikia ndicho kilichotokea segerea eti mpendazoe kakubali kumpa kiti nyangau makongoro kweli watu hawana uchungu na nchi yao safi sana nyamagana sio poowa mtu kupewa dhamana na wananchi halafu wewe uuze utu.
 
Back
Top Bottom