Inasemekana hii ni First 11 ya Magalasa kuwahi kutokea Msimbazi

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116

Kikosi cha magalasa waliopita simba ni
1. Angban
2. Derick Walulya
3. Sam Keita
4. Lino musombo
5. Gilbet Kaze
6. Musa Made
7. Papa Niang
8. Kanu Mbiyavanga
9. Dany Sserenkuma
10. Papa Ndaw
11. PaulKiongera

Tusaidiane kuwapata wale wa Reserve! najua wapo tu, na wanajulikana.

12. Daniel Akuffor
13.
14.
15.
16.
17.
 
Angalizo:

Usijaribu Kupost ya Yanga.... Maana wengi waliojaribu wamejikuta wakipost wachezaji waliotwaa medali zao wakiwa na Yanga SC
 
Hapo hakuna mchezaji aliehusika kwenye yale mauaji ya shalobela, ya tano bila, maana manji anajaribu kuhangaika kurudisha zile gori, zinashindikana pamoja kutumia pesa kufanya awezalo ikiwa pamoja kuwarubuni wachezaji wazuri wa Simba.
 
jaja pekeyake anatosha kuwa galasa bovu kuwai kutokea ktk historia ya mpira bongo.

Galasa anaisaidiaje timu yake kubeba Ndoo.

Au wewe ni shabiki wa Azam.! Ila Manula anamkumbuka sana Mbrazil huyu. Alienda kukanda kiuno chake baada ya jutaka kuthubutu kufuata ule mpira.

Hebu nitajie jina la mchezaji yeyote unayemjua wewe kuwa ni galasa halafu kaisaidia Timu yake kutwaa ubingwa wowote ule.

Pengine nami nitaamini kuwa Jaja alikuwa Galasa.
 
licha ya kumwekea manyika jr golin alishindwa hata kufunga goli la offside

Kila mshambuliaji ana majukumu uwezo wake.

Yule aliletwa awatungue watu mipira ya nyonga...

Kazi ya kupiga mabao ya Offside na Mabao mengine yanayofungwa na watu kama huyo aliye kwenye Avatar yake imekabidhiwa kwa Amis "Joslin" Tambwe..
 
Hapo hakuna mchezaji aliehusika kwenye yale mauaji ya shalobela, ya tano bila, maana manji anajaribu kuhangaika kurudisha zile gori, zinashindikana pamoja kutumia pesa kufanya awezalo ikiwa pamoja kuwarubuni wachezaji wazuri wa Simba.

Ninachompendea manji ni kuwa yeye ameamua kutumia jinsi yake kurudisha zile bao 5.

Si unajua jamaa ni mchumi... Akaamua kurudisha kidogo kidogo huku zikiwa zinaleta alama 3 muhimu...

Au umesahau msimu uliopita!?? Manji aliwalaza doro kwa bao 2 kila mechi
.. Ambazo zilizaa alama 3 na Ubingwa juu...
 
Mba umemsahau alikuwa na miguu yote ya kushoto. Huko kwao alikuwa ni bouncer. Wakampendea umbo.

Sipingi kuwa tulipa kusajili magala....

Ila cha ajabi zaidi ni jinsi mnavyosajili magalasa juu ya Magalasa kila kukicha...

Jangwani hayo mambo hutokea mara nadra sana.....

Galasa anaisaidiaje timu yake kubeba Ndoo.

Au wewe ni shabiki wa Azam.! Ila Manula anamkumbuka sana Mbrazil huyu. Alienda kukanda kiuno chake baada ya jutaka kuthubutu kufuata ule mpira.

Hebu nitajie jina la mchezaji yeyote unayemjua wewe kuwa ni galasa halafu kaisaidia Timu yake kutwaa ubingwa wowote ule.

Pengine nami nitaamini kuwa Jaja alikuwa Galasa.
aisee kumbe jaja alimaliza msim na tim ikabeba ndoo? niliku sijui asee
 
aisee kumbe jaja alimaliza msim na tim ikabeba ndoo? niliku sijui asee
Kama ukumbuki nenda Chamanzi pale.

Muite chemba.... Muulize hivi ule mpira wa nyonga uliotaka kukufanya uache soka ulipigwa na nani...? na uliingia wapi?

Hawezi kusahau.... atakuwa anakumbuka vyema...
 
Back
Top Bottom