Inasemekana Dr. Namala Mkopi kiongozi anahojiwa Central Police muda huu

Electron

Member
Jul 3, 2012
92
49
Habari nilizo nazo toka kwa chanzo kinachoaminika (mmoja wa madaktari) amesema kuwa kiongozi wa MAT (siyo Jumuiya ya Madaktari), Dr. Namala Mkopi anahojiwa muda huu hapo Central Police Station..... alipigiwa simu kuitwa kutoa maelezo eti kwa nini amekiuka amri ya mahakama ya kutositisha mgomo!!!!!!!

N.B. Mgomo wa madaktari uliitishwa na Jumuiya ya Madaktari nchini, chini ya uongozi wa Dr. Ulimboka na kamati yake dhabiti ukiungwa mkono na madaktari nchini. Aidha Dr. Namala alishakanusha kuwa si yeye wala MAT iliyoitisha mgomo.

Je mahakama na polisi wameingia chaka!! wanasheria tujuzeni!

More to come

Keep your friends close and your enemies closer. Don Coleorne
 
Labda ni kwa sababu ya hii
 
Attachments

  • Ulimboka.doc
    1,000.5 KB · Views: 508
Huyu naye kama msaliti tu kwa madaktari, hasiki akitoa msimamo wake wakati yeye ni kiongozi mkuu wa mat. Aseme anaunga mkono mgomo au yuko upande wa serikali na si kumbwelambwela tu
 
wazee wa intelejensia za kipinzani.ukipinga ccm ndo wanafnya intelejensia zao. i hate you police
 
Nimeisoma hiyo barua, kwani kuna jambo gani hapa serikali inaogopa? Ukweli uko wazi na Dr. anaendelea vizuri na ana fahamu zake kila kitu kitakuwa hadharani. Kwa hakika waliotenda ile kazi walijua wamemaliza kazi kumbe Mungu amempangia kila binadamu kifo chake?!!!!!!! Cha msingi serikali ikubali kuwa fani ya udaktari na ualim si ya kuchezea na iwe na busara na majibu ya viongozi waandamizi wa serikali. Ni vema busara itumike kuongea na hawa ndugu zetu maana ni wasomi wa miaka 7 na si chekechea hawa!!!!! Huduma ya afya ni nyeti hasa kwa sisi ambao hatuna uwezo wa kwenda private au nje ya nchi kwa matibabu. So sad that the crisis is on and no sustainable solution to it. For now, I believe Tanzania lacks mediation expects!!!!!!! So sad our relatives and friends are dying out there na hakuna anayejigusa kuongea inavyopaswa na hawa madaktari. Yaani hadi sasa ni kimya kabisa!!! Hivi kweli wakiacha kazi Tanzania ina uwezo wa ku-hire nje ya nchi? Watawalipa expetriate remunerations au ni vipi? Kwa hakika the medical workforce shortage is a crisis in Tanzania halafu tena waache kazi? Let us be frank and look for a better way to solve it na tuache ubabe na vitisho.
 
Back
Top Bottom