Inasemekana asilimia 80% ya wanawake walio olewa hawatoshelezwi kimapenzi kwenye ndoa zao

Wanaanza mapema huo mchezo. Hadi kufika muda wa kuolewa wanakuwa used sana.
Ila wanawake waliokulia kwenye maadili, wanafika bila shida yeyote.
Kwa hiyo tatizo la msingi hapo ni kukubuhu kwa wanadada wa sasa

wanaume wanaanza mapema ndio maana wanashindwa kuwatosheleza wake zao
 
Wanaanza mapema huo mchezo. Hadi kufika muda wa kuolewa wanakuwa used sana.
Ila wanawake waliokulia kwenye maadili, wanafika bila shida yeyote.
Kwa hiyo tatizo la msingi hapo ni kukubuhu kwa wanadada wa sasa
mkuu nakubaliana na wewe 100%,unakuta mtu ameshapitia kwa wengi so kutoshelezwa inakuwa ngumu
 
Wakuu mimi napita hapa,...ila ntamuuliza mwanamke aliyeolewa kama anatoshelezwa ama la....maake mimi bado nipo nipo saaaaaaaaana...kama vip ntarudi
 
unadhani atakuambia,we mtongoze akikubali basi ujue hatoshelezwi
 
:eyebrows:nahisi mtoa mada hajaoa.ama bado teenager.upuuzi mtupu.

mtu na heshima yake awe mume/mke hawezi kutoa siri yake ya ndani kusema anatoshelezwa ama atoshelezwi
ndo mana wazee wa zamani walikuwa na unyago kwa wote.he/she bila kubagua.:hat:
 
Nimemtaja mke wako?mbona unaingilia privancy,watch out
 
kwanini hawatoshelezwi??????

Umesema hawatoshelezwi vilee??

Hapo unatutia lawamani sisi tunaotakiwa kuwatosheleza son; ungesema hawatosheki ndo ingekuwa wao as wao

Mapenzi na sanaa na sanaa haifanywi na kila mtu; sasa je wanaume wote ni wasanii tosha??
 
Back
Top Bottom