inaonekana BONGO MOVIE inalipa

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
Habarini za jion wana JF,nadhan mko vizr baada ya mihangaiko ya mchana kutwa.pia polen sana kwa kumpoteza kijana mwenzetu SCK tuliyemzika leo.
kuna jambo nimeliona ktk hii tasnia ya filam kufuatia umati wa watu waliofulika pale viwanja vya leaders na hata pale makaburin kinondon.ukiachilia mbali watu waliofulika katika maeneo hayo kuna wanajamii waliokua wako mafungumafungu mitaani wakiwa wakisikiliza radio ama kuangalia TV zilizokua zikirusha moja kwa moja mazishi hayo.wazo langu ni vp Bongo Movie inalipa sana kwani km umati ule uliofulika pale Leaders wananunua kazi zao basi itakua inawalipa sanahawa jamaa au we unaonaje mwana JF
 
watu wote wale wana azimana dvd,hawanunui mkuu,hali yenyewe maisha uswahilini ngumu
 
ukiniambia "watazamaji" ntakukubalia...wanunuaji hakuwepo hata mmoja pale....ooops nimechangia hii mambo tena akati sipendi.
 
wasikuchanganye kwa huo wingi wengi wao hawanunui cd. Wanabani kwenye vibanda uswahilini.
 
Ukweli zinalipa ndugu yangu, Pamoja na kuwa watu wengine huziponda ukilinganisha na zile za Nigeria lakini hawaachi kuangalia. Mimi si mnunuzi ila nazikutaga nyumbani. Hii sheria ya Hatimiliki ikisimamiwa vizuri movie zinaweza kumaliza matatizo ya vijana wetu, Ila ubora nao unahitajika sana, Waigizaji wanatakiwa wapate mafunzo ya kuwanoa, Lugha hasa Kiingereza ni Tatizo kubwa katika Bongo Movie.
 
Habarini za jion wana JF,nadhan mko vizr baada ya mihangaiko ya mchana kutwa.pia polen sana kwa kumpoteza kijana mwenzetu SCK tuliyemzika leo.
kuna jambo nimeliona ktk hii tasnia ya filam kufuatia umati wa watu waliofulika pale viwanja vya leaders na hata pale makaburin kinondon.ukiachilia mbali watu waliofulika katika maeneo hayo kuna wanajamii waliokua wako mafungumafungu mitaani wakiwa wakisikiliza radio ama kuangalia TV zilizokua zikirusha moja kwa moja mazishi hayo.wazo langu ni vp Bongo Movie inalipa sana kwani km umati ule uliofulika pale Leaders wananunua kazi zao basi itakua inawalipa sanahawa jamaa au we unaonaje mwana JF
inategemea na jinsi mtu anavyokubalika, kanumba au ray huwezi kumfananisha na sajuki/wastara au baba haji
 
Back
Top Bottom