Salaam wanajf wenzangu wote..
Lord have mercy ..
Uchaguzi wangu haujakuwa km nilivyofikiria itakuwa, mama inaniuma sana, mama anasema Sio rahisi mwanangu kuelewa haya mambo ila natumai baadae utakuwa mwenye furaha tena.
Nakumbuka siku ya harusi kanisani, mhubiri akisoma neno na kukuwekea kinywani mwako ..nilikuona mrembo sana na usiye na hatia sikujua ndani ya urembo wako ulificha makucha ambayo yangeniparua siku zijazo..
Inaniumiza jamani..na sasa naelewa kwanini wanasema mwanamke mrembo ni wa kuchezewa na wanaume wengine ee bwana naumia sana jamani.
Hivi hiyo tabia mbaya ni tabia gani isiyo onywa,
umesema umefunga ndoa kanisani,
ushapeleka malalamiko kwa wasimamizi wa ndoa,
kwa Mchungaji/Padri
Na mshenga je?
Fuata utaratibu ikishindakana toa maamuzi, ila mama yako ni lazima ajue kinachoendelea.
huo sio mwisho wa maisha ndugu!
fanya maammuzi sahihi kutokana na mazingira na si hasira
pole sana!!!
its not easy!
The song of Lucky Philip Dude(R.I.P)...i like this song very much.
Avatar yako imenifanya nisahau mada nzima!huo sio mwisho wa maisha ndugu!
fanya maammuzi sahihi kutokana na mazingira na si hasira
pole sana!!!
Hivi hiyo tabia mbaya ni tabia gani isiyo onywa,
umesema umefunga ndoa kanisani,
ushapeleka malalamiko kwa wasimamizi wa ndoa,
kwa Mchungaji/Padri
Na mshenga je?
Fuata utaratibu ikishindakana toa maamuzi, ila mama yako ni lazima ajue kinachoendelea.
Salaam wanajf wenzangu wote..
Lord have mercy…..
Uchaguzi wangu haujakuwa km nilivyofikiria itakuwa, mama inaniuma sana, mama anasema Sio rahisi mwanangu kuelewa haya mambo ila natumai baadae utakuwa mwenye furaha tena.
Nakumbuka siku ya harusi kanisani, mhubiri akisoma neno na kukuwekea kinywani mwako ..nilikuona mrembo sana na usiye na hatia sikujua ndani ya urembo wako ulificha makucha ambayo yangeniparua siku zijazo..
Inaniumiza jamani..na sasa naelewa kwanini wanasema mwanamke mrembo ni wa kuchezewa na wanaume wengine…ee bwana naumia sana jamani.