Inaniboa kuona Kuwa Nyani Ngabu Hayupo Uwanjani Tena

Status
Not open for further replies.

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,502
19,341
Nyani Ngabu alikuwa boara mzuri sana ambaye nilikuwa sikosi kupitia post zake hata kama niko bize namna gani ingawa alikuwa akitoa pumba nyingi sana. Inaniboa sana siku hizi kuwa hakuna Nyani Ngabu tena, nasikia kuwa kuna kitu kinajiita Julius kimechukua nafasi ya Nyani Ngabu. Sipendi kabisa hii kitu inaitwa Julius, ninataka Nyani orijino sasa hivi.
 
duuuu hii ni thread ya pili unamzungumzia mtu mmoja

were u in love with him???????
 
duuuu hii ni thread ya pili unamzungumzia mtu mmoja

were u in love with him???????

No, hii double posting kwa sababu niliona kama computer imfreeze. Nikakopi message na kupost tena. Ila nimeshaifuta baada ya kuona imejirudia.

Nyani alikuwa ni mmoja wa maboara wazuri sana hapa kwa pumba enzi hizo.
 
maboara????what does that mean????????
 
Nyani Ngabu alikuwa boara mzuri sana ambaye nilikuwa sikosi kupitia post zake hata kama niko bize namna gani ingawa alikuwa akitoa pumba nyingi sana. Inaniboa sana siku hizi kuwa hakuna Nyani Ngabu tena, nasikia kuwa kuna kitu kinajiita Julius kimechukua nafasi ya Nyani Ngabu. Sipendi kabisa hii kitu inaitwa Julius, ninataka Nyani orijino sasa hivi.
Kichuguu, labda Avatar na jina la nyani ngabu vilikuwa havioani, maana kale ka-Avatar,, kako more innocent zaidi ya unyani ngabu wenyewe
 
Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo

Nimeipenda hiyo!

Mkuu kichuguu, wengi hapa wanatumia a.ka.a lakini baadaye wakijulikana huamua kutumia majina yao halisi. Tutafurahi siku moja tukawajua akina wako nyuma ya hizi identity kama Kakalende, Kichuguu, etc.
 
Nyani ngabu was a small fish in a big pond,he could not handle the big fishes hence so,the sharks have devoured him
 
For whatever reason, dude became kinda laid-back in style and more reflected after name change (which is a darn good thing as far as I'm concerned)
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom