inani free neti ya kutumia proxy?

ambili

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
243
15
wakuu tokea jana kila nikijaribu kubrowse kwa kutumia ile neti yetu ya bure kutoka voda ,ina nitolea mbavuni au ndo washatupiga pini !
Maana you tube video hazichezi hata page ya jamii forum haifungui naishia kuingia google tu. Nijuzeni tafadhali or Am i missing some thing?
 
Mkuu zinafanya kazi. Mbona kwangu youtube hazikubali kustream unatumia browser gani mwenzangu nilijaribu kudownload bolt browser ikagoma.
 
Hata kwangu naishia Google tu!I think wameshabana kitu hawa!
---Believdat---
 
Itakuwa tatizo ni kwny proxy jaribu kuchange na kutumia zingine.. unatumia proxy gani jaribu hizi pia:

ip: 69.10.57.139 port:80 hii inagonga youtube poa sana

ip: 108.59.252.58 port:80

ip:216.155.153.105 port:80

ip: 199.167.132.123 port:80

Jaribu izo proxy zOte na kama still bado inafunguka Google tu then au kwanza test hizo kwanza
 
Jamani naombeni mnifundishe kutumia hizo proxy kila siku nasikia naombe mnipe step by step kutu mia proxy nitasaidika sana
 
Itakuwa tatizo ni kwny proxy jaribu kuchange na kutumia zingine.. unatumia proxy gani jaribu hizi pia:

ip: 69.10.57.139 port:80 hii inagonga youtube poa sana

ip: 108.59.252.58 port:80

ip:216.155.153.105 port:80

ip: 199.167.132.123 port:80

Jaribu izo proxy zOte na kama still bado inafunguka Google tu then au kwanza test hizo kwanza

Zote chali mkuu
 
Zote chali mkuu

Skiliza google wana mtindo wa kutrick proxy maana wanazijua jaribu mambo haya

Kwanza jaribu kuingiza adress manual mfano sehemu ya page ikifunguka jaribu kueka website lets say waptanga.tk

Ikikubali dont use google tumia search engine nyengine me narecomend bing.com.
 
it still works, but if inazngua try anothr vodacom simCad with 0.00Tsh as usual!!
............Cheerz!!
 
Mbona mm huwa najaribu hzo trick nashindwa au nimebugi step ipi? Huwa natumia Uc browser
 
wakuu tokea jana kila nikijaribu kubrowse kwa kutumia ile neti yetu ya bure kutoka voda ,ina nitolea mbavuni au ndo washatupiga pini !
Maana you tube video hazichezi hata page ya jamii forum haifungui naishia kuingia google tu. Nijuzeni tafadhali or Am i missing some thing?

oyo nsaidie hyo k2 ya free hlo dude llnipta npe setup yake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom