Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,356
Leo mbona umenishupalia hivi mama! LOL! Ninalo!hahahahah... usichukulie kuwa kwa vile yeye kakutwa ok na wewe uko ok... ushasikia kuhusu discordant couples?
Ila kupima? Hapana mama! Naomba msamaha wako.
Hizo couples nshazisikia. Maadam yeye yuko OK, potelea mbali kama mimi nimekanyaga. At least Matesha atalelewa na mama wakati mimi nimesharest in peace! Kupima hapana mama, hivi nilishakuomba samahani? Nisamehe mama ushauri!