Mi naona tamaa zaidi,kuoa cause umempa Mdada mimba na ukapata shinikizo toka kwa wazazi au dada, huku mwenyewe ulikuwa unapita tuu.!!!!! Kwa wadada walifuata mali na na wanaowapenda sio walliowaoa jamen!!
Nataka kuleta posa kwenu hebu jiandae basi.
Kweli susy watu wanahalalisha uzinzi kwa kusingizia moyo, ina maana wasio na tamaa hawana mioyo??
Hao wana Shahada za MBA (Married But Available)
Usinifanyie hivyo mie mtoto wa mwanamke mwenzio sio vizuri niambie nije na washenga wangapi vipi mahari wazazi wanahitaji nini nijue mapemaTeh teh teh teh uwiiiiiiii mbavu zangu mie The Finest!!!
Boss anataka kuanza ule mchezo kama kwenye ile thread ya mashosti wabayaMba au?
Sababu ni moja tu: Huyo aliyenaye kwenye ndoa kuna manjonjo hampi ambayo alikuwa akiyapata kwa mpenzi wake wa zamani.
Mfano:
1. Ashakum si matusi, kwa mdada/mkaka aliyezoea kuliwa/kula tiGo, akiingia ndani ya ndoa halafu mwenzi wake akawa hafanyi hicho kitendo, lazima atatoka nje kuitafuta hiyo service.
2. Kuna mada nilisoma humu jamaa alikuwa hawezi 'kumpiga deki/kuzama uvinza' kwa mkewe, wakati huo mkewe anamlalamikia jamaa kuwa ye kazoea kitendo hicho, hapo mwanamke atatoka nje tu.