Inakuwaje wanajeshi (JWTZ) wanalinda Fiesta?

Tanzania zaidi ya uijuavyo.
Kweli kabisa maana watu wanaiga hadi sahihi ya Waziri Mkuu mwenyewe anachekelea tu anaona ni jambo la kawaida hajui umuhimu wa sahihi yake kuwa inaweza kiingiza nchi vitani, nakumbuka kuna waziri mmoja UK alitemeshwa kazi kwa kubeba vibaya faili la kesi siikumbuki kesi yenyewe ingekuwa tanzania aliyelipiga picha lile faili angeweza kufunguliwa mashitaka ya kumfuatilia wariri kazini.
 
Angalieni hata vituo vinavyotoa haya matangazo. Unawezakuta anayetangaza ni wale makanjanja wetu. Ni vema hii wanajf wafanye upembuzi kabla ya comments. Haipo na haitatokea jw ilinde fiesta. Labda wangeweza kulinda kama hiyo ingefanyika kambini kama kwenye ukumbi wa lugalo. Watangazaji hawa wakiona mtu yeyote amevaa mabakamabaka anafikiri ni jwtz
 
kama umeutazama mdahalo wa leo kati ya mwanasheria Lissu na mwanamipasho Ndugai utaelewa serikali ya magamba ina watu wa aina gani. Unashangaa jeshi la nchi kulinda fiesta wakati kaka wa rais alifanyia sherehe ikulu. Wakati rais anakesha angani. Ana miezi 8 ameliacha jiji kuu halina mkuu wa mkoa. Kwa serikali ya watu vilaza ni jambo la kutoshangaa. Usishangae siku wasanii wa fiesta wakialikwa bungeni
 
Kama ni kweli basi ukumbi wa bunge tutaukodisha kwa send off ya mtoto wa chikwete
 
Mkuu kuna threat nyingi za kigaidi ambazo zinaTarget mkusanyiko wa watu wengi (kama ilivyotokea Uganda), sidhani kama wanajeshi wanalinda ama wakostandby in case mlipuko utatokea?

mawazo yangu tu!
 
Muhuni Luda Criss kupata stafutahi na chikwerekwere kesho pale kilimanjaaro hotel ilouzwa!

Watapiga picha na kukaribishwa kuwekeza tanganyika.
 
Achen uzush jesh c kazi yake kulinda kwny kumbi za starehe hii ni kashfa kubwa kwa TPDF nzima na amri jeshi mkuu,na haya yote na siasa za magamba kuingia kwa baadhi ya wanadhimu wa jeshi,aibu kubwaa ningekuwa mm mkuu wamajesh ningemtimua huyo aliyetoa hicho kibal
 
Mkuu kuna threat nyingi za kigaidi ambazo zinaTarget mkusanyiko wa watu wengi (kama ilivyotokea Uganda), sidhani kama wanajeshi wanalinda ama wakostandby in case mlipuko utatokea?<br />
<br />
mawazo yangu tu!
Habari za kiinteligensia hazikuwepo?
Asee, alshabaab wamekataza ulaji wa sambusa! Kwani fiesta wanakula sambusa? Au sambusa za dada zetu ndo zinaliwa?
 
kama umeutazama mdahalo wa leo kati ya mwanasheria Lissu na mwanamipasho Ndugai utaelewa serikali ya magamba ina watu wa aina gani. Unashangaa jeshi la nchi kulinda fiesta wakati kaka wa rais alifanyia sherehe ikulu. Wakati rais anakesha angani. Ana miezi 8 ameliacha jiji kuu halina mkuu wa mkoa. Kwa serikali ya watu vilaza ni jambo la kutoshangaa. Usishangae siku wasanii wa fiesta wakialikwa bungeni
rais anaenda kukagua shamba yla mihogo
 
dah aibu kubwa sana ila mi nilijua wangeambiwa watafute mbinu za kuwasha umeme badala ya kulinda walevi
 
Angalieni hata vituo vinavyotoa haya matangazo. Unawezakuta anayetangaza ni wale makanjanja wetu. Ni vema hii wanajf wafanye upembuzi kabla ya comments. Haipo na haitatokea jw ilinde fiesta. Labda wangeweza kulinda kama hiyo ingefanyika kambini kama kwenye ukumbi wa lugalo. Watangazaji hawa wakiona mtu yeyote amevaa mabakamabaka anafikiri ni jwtz
Huo upembuzi unafanyikaje bila kujadiliwa hata hivyo hapa tunacomment matangazo tuliyosikia live.
 
Kwanza tunaomba pics za hii shughuli ya kikwete na jeshi la ulinzi. Kitu na kiona hapa ni udhibitisho wazi kwamba jeshi la ulinzi linatumia na kikwete kama vikosi vya kulinda familia yake na familia.

Tumefikaje katika hii hali?

Kwanini wananchi wanaendelea kuhudhuria hizi shughuli za ccm, inawezekana kabisa wanaokwenda huko ni wafanyakazi wa serikali wanalazimishwa kwenda au ni wale wajinga wasio na freedom/right of thinking!

This is a total shame kwa Taifa na wananchi!
 
Huo upembuzi unafanyikaje bila kujadiliwa hata hivyo hapa tunacomment matangazo tuliyosikia live.

Uko sahihi mkuu, lakini nadhani hujanielewa mpaka mwisho, nimesema siku hizi kila anayevaa magwanda ya mabaka watu wanadhani ni JWTZ. MIE NGOJA NIKALALE
 
Mnacho shangaa ni nini?Mbona hamshangai tz yetu haina rais
 
Wanalinda usalama wa raia....
Tena yapendeza kuona hilo ...
ingekuwa ludacriss kaja kutumbiza
Nchini JWTZ wangefurika kila kona..

Si mbaya ukuwepo wao hapa..
 
Back
Top Bottom