inakuwaje? viongozi wa serikali kuwa wanaamshwa na tv kutimiza wajibu wao?

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,279
naona kila kukicha viongozi wa nchi hii inaonekana hawajui wajibu wao!hadi tatizo lionekane kwenye vyombo vya habari hususani ITV,ndio utawaona wanaibuka na kuanza kulishughulikia,mfano toka serikali itangaze wale wote waliojenga majumba na kuziba sehemu ya bahari kupumulia,wabomoe wenyewe kumbe jamaa walikuwa wanaendelea tu kujenga!juzi itv wameonyesha jinsi ujenzi unavyoendelea kwa kasi,jana uongozi wa manispaa ya kinondoni na wizara wameibuka tena!kusimamisha ujenzi tena!sasa huwa wanamdanganya nani? Mi nadhani kama dalili za kuijenga somalia zinazoanza kufanyika zitafanikiwa bac muda c mrefu nao watatuacha ki maendeleo!kwani kila tatizo limekuwa changamoto!hi kauli siipendi.
 
Back
Top Bottom