Inakuwaje umeme unakatika karibu kila siku lakini bili za umeme zinazidi kuwa kubwa??

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,639
Kwa sasa kuna mgao wa mkubwa sana wa umeme Tanzania nzima lakini kinachonishangaza bili za umeme zinazidi kuongezeka kila mwezi, hii inakuwaje jamani??
 
unamaanisha bill gani?kwa nini usiwe na mita ya luku???
<br /> <br / nazungumzia malipo ya matumizi ya umeme kwa wanaotumia mita za kawaida, ushauri wako ni mzuri sana ila huku kwetu ukiomba ufungiwe luku wanakwambia hakuna zimeisha yn mateso mtindo 1
 
Hivi umeme huwa unakatika mara nyingi au unawaka mara chache?manake tz hamna umeme..sasa sjui huo mgao ni wanini..xxnhajddslaar zao
 
Back
Top Bottom