Inakuwaje pale ambapo kigezo cha Dereva Kupandishwa cheo inapokuwa ni yeye kuangusha gari? imetokea

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Wana janvi Juzi nikiwa safarini kutoka mbuga ya Serengeti nilikutana na Story ya kushangaza kidogo, Kuna Dreva mmoja wa Hifadhi ya Ngorongoro aliangusha Gari la Hifadhi maeneo ya Kilima Tembo- Karatu na Lori hizi za Kubinua na lilikuwa ni Jipya kabisa halina hata miezi mitano, ILA CHA KUSTAJABISHA MARA TU BAADA YA DREVA KUPIGA CHINI HILO LORI, ALUIZIWA NA KUPANDISHWA CHEO MARA MOJA
 
Uchizi,wata tuua ili wapande vyeo.
Aliye mpandisha cheo ashitakiwe kwa kuchochea ajali
 
Tunaangalia perfomance rafiki yangu sio tatizo kama yeye akitumwa kazi anaifanya ndani ya muda unaotakiwa hata kama wenzake wamekataa na haombi overtime kama wengine,definetely ntamuhitaji huyo mtu zaidi ya wengine.kuangusha gari sio kosa rafiki yangu,insurance italipa hiyo ni ajali na sio makusudi

Wana janvi Juzi nikiwa safarini kutoka mbuga ya Serengeti nilikutana na Story ya kushangaza kidogo, Kuna Dreva mmoja wa Hifadhi ya Ngorongoro aliangusha Gari la Hifadhi maeneo ya Kilima Tembo- Karatu na Lori hizi za Kubinua na lilikuwa ni Jipya kabisa halina hata miezi mitano, ILA CHA KUSTAJABISHA MARA TU BAADA YA DREVA KUPIGA CHINI HILO LORI, ALUIZIWA NA KUPANDISHWA CHEO MARA MOJA
 
Chezea Tanzania weye!!? hivi bado hujaijua bongo ee!!? kisichowezekana mahali pengine popote duniani kinawezekana Tanzania
 
Kuangusha gari ni ajali, ili mradi hakuwa amelewa au hakuwa negligent haiwezi kuwa sababu ya kutompandisha cheo.
 
Back
Top Bottom