mamboz wana jf, polen kwa kuimiss jf. Hivi ni kwanini watu wanaweza kumudu kuwa wapenzi "boyfriend na girlfriend" kwa muda wa mwaka au zaidi ya mwaka then wakifunga ndoa hawamalizi hata mwaka wanatalikiana?? hii inatokana na nini?
Kuna tabia mbaya ambayo haionekani sana katika gf+bf, "bullying"!! Kabla ya ndoa kuna superficial equeality kati ya bf+gf na baada ya ndoa "bullying" huanza, ni ile kutaka kuonesha kuwa "I" am in control of this relationship!! Ni katika kujitetea kupinga hii bullying ndio mambo mengine hujitokeza. Kwa ufupi, taking the relationships for granted happens more in marriages than gf+gf relationship!! One thinks the other cant call it quits easily unlike gf+bf where quiting is a piece of cake!!
Kuna myth moja na nitaomba tusaidiane hapa. This has to do with 7!!! There is a superstitious myth kuwa if a marriage survives the first 7 years, "until death do us part" will be the only thing left. Nimefanya tafiti kidogo na inaonekana ndoa nyingi zilizokufa ni kabla ya 7 na chache baada ya 7. Inadhaniwa kuwa accepting 80% of the other starts after age 7!! Great sense of "acceptable and responsibility" starts after 7, kabla ya hapo egos are just enormously heavy kwa wanandoa.