Inakuwaje hizi mashine za kodi za TRA (EFD) na huu mgao wa umeme?

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Wenye kuzitumia hizi mashine tunaomba mtufahamishe, mnatumia mbinu gani kuwapatia wateja wenu risiti pamoja na kuzioperate hizi mashine pale Tanesco wanapochukua umeme wao?. Assume huna chanzo kingine chochote cha power.
 
Back
Top Bottom