Inakuwaje hii? Pamoja na matusi mengi ya CCM dhidi ya Slaa, bado alipokelewa kishujaa?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Hilo suala nasikiavyo limewasambaratisha akina Mchemba na kuwafanya waweke vikao hadi usiku kutafuta namna ya kumpiku kipenzi hiki cha Watanzania wanaodhulumiwa.
 
Vikao, mikakati, propaganda na namna yoyote ile haitasaidia. Msingi wa kuwashawishi wananchi ni utatuzi wa kero zao, kitu ambacho CCM walishajitenga nacho siku nyingi! hivyo tegemeo pekee la wananchi ni viongozi wa CHADEMA.
 
slaa anahitajika wiki ya mwisho wa kampeni.azungushwe vijijini,ushindi kwa chadema ni dhahiri sasa.
 
Tofautisha siasa za mtandaoni na za uraini... Usifikiri unachokiona wewe jf kila mtu anakiona hii ni tz mtandao bado sana kwa walio wengi.
 
Wananchi wamesha anza kustukia propaganda chafu za CCM. Jibu ni hilo tu.
 
Hilo suala nasikiavyo limewasambaratisha akina Mchemba na kuwafanya waweke vikao hadi usiku kutafuta namna ya kumpiku kipenzi hiki cha Watanzania wanaodhulumiwa.

Mchemba? Hajui zaidi ya kuwinda wake za viongozi wenzake.
 
msechu akipokelewa kishujaa!!

132.jpg


Kikwete huwa anapokelewa!!

hata angekuwa katoka jela anapokelewa

mafisadi lowassa, chenge, wote walipokelewa kishujaa baada ya matatizo yao!!

what argument are you trying to make here???

Slaa atapendwa tu kwa wafuasi wake!!! thats it normal thats is natural!!

hoja zingine bana
 
hakuna mtu kama dr. jamani, utendaji wake umejidhihirisha tayari kwa wananchi hata isemwe nn bado haitamshusha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom