Jamani wadau imekaa vp hii, maana kila kona jamaa wamezitandaza tena kweupeee! Sipendi hii kitu, ni aibu hasa kwa watoto zetu waliopo huko mitaani.
Ha ha haaaa!!Sina comment aisee duh!!Watanzania tumeishiwa maadili, hata wewe unayelalamikia picha za ngono barabarani unatumia jina lililokaa kingonongono bila kujali kuwa JF kuna watu wa rika mbalimbali!..kwa vile wabongo ni wabishi utaanza kusema haukumaanisha hivyo navyofikiria, na niache kukufuatilia!..MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO!
heading zenu ziendane na mnayoandika, mnavuta attention yetu bila sababu
mimi kisukari,napenda vyakula vya sukariheading zenu ziendane na mnayoandika, mnavuta attention yetu bila sababu
mimi kisukari,napenda vyakula vya sukari
mimi kisukari,napenda vyakula vya sukari
heading zenu ziendane na mnayoandika, mnavuta attention yetu bila sababu