afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,207
Nimeuliza Lizzy una mume ili tuone tutachangia vipi maana unaweza ukawa unaizungumzia ndoa kinadharia zaidi. Kama umeolewa una muda gani ndani ya ndoa? Ukitaka kumlaumu mtu unatakiwa kwanza uvae viatu vyake ndo uweze kukosoa ama kusifia
hakuna cha kuvaa viatu
khaaaa ..
na sisi tulioona wazazi wetu
wanapitia hayo hivyo si viatu tosha...
saa nyingine chakula kina harufu mbaya
si lazima uonje ndo ugundue kimeoza..
Na lizzy haja kosoa wala kusifia kauliza..