Inakuaje!

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,778
59,133
Hivi inakuaje mwanamke anaondoka nyumbani kwake anamuaga mume wake ambae ni mzuri as in hamnyanyasi na anajitahidi siku zote kumfanyia mke yaliyo mema..alafu anaenda kukutana na kimada wake ambae nae ni mume wa mtu ambae nae mke wake anajitahidi kumfanyia yaliyo mema?Yani wote wanavunja ahadi zao kwanza kwa kutoka nje ya ndoa zao alafu wanafikia kutamani mpaka kutembea na mume/mke wa mwingine!Watu hawa ambao kuna watu wanawaangalia kama 'rolemodels' kwenye maswala ya maisha tuwachukulieje?
 
Lizzy.....watu wote wanaofanya ivyo wana''umasikini wa roho''-yaaani hata umlambe mwili mzima bado atakuona haumfurahishi....wanakela kweli kweli...ila mwisho wake ni mbaya.Nimeshashuudia kuna baba alikuwa anam''cheat'' mkewe na kimada wa hapo hapo mtaani....one day huyo mume wa mtu alipata ajali mbaya sana.Nyumba ilishika moto na ALIUNGULIA NDANI YA NYUMBA(Chumbani kabisa) YA HUYO KIMADA...YANI MSIBANI ILIKUWA GUMZO.
 
...mnh, watu hawa ni role models kwenye maisha ya ndoa au maisha kwa ujumla?
 
Lizzy my dear ngoja nikujibu ipasavyo
kwa sante sana kwa hii thread yenye
ukweli wa hali ya juu na wa ndani kabisa..
kwani hata mimi kuna watu nilikuwa na waona ma Role model
watu wenye kheshima ya hali ya juu kazi nzuri, familia safi na
Mwenyenzi Mungu kawajali unyumba wenye amani, lakini mume hajua mke anakula nje
sababu mmhh siwezi kukueleza lakini kwa mimi nisiyoyajua ya chumbani kwao ntasema :Tamaa:

Chakushangaza zaidi ni huyo mmama anapokuja kwako na kukueleza
na ukija kuoleawa usije toka nje ya ndoa yako maana wanaume wana kitu fulani "pride"
hawataki kabisa kusikia au kuona mke wake ana toka nje ya ndo.. chakushangaza yeye ndo
number moja CCM ..... hapo hapo ukimuuliza kwanini yeye anafanya eti Matatizo ya maisha khaaaa
na yale mambo ya pombe, sijui shetani yanachangia sana ... Embu acheni upuuzi na mkue..
 
Watu yanaingia sikio la kulia yanatokea la kushoto watu wanajifanya vipofu.
 
Lizzy.....watu wote wanaofanya ivyo wana''umasikini wa roho''-yaaani hata umlambe mwili mzima bado atakuona haumfurahishi....wanakela kweli kweli...ila mwisho wake ni mbaya.Nimeshashuudia kuna baba alikuwa anam''cheat'' mkewe na kimada wa hapo hapo mtaani....one day huyo mume wa mtu alipata ajali mbaya sana.Nyumba ilishika moto na ALIUNGULIA NDANI YA NYUMBA(Chumbani kabisa) YA HUYO KIMADA...YANI MSIBANI ILIKUWA GUMZO.
Kweli kuridhika ndo kila kitu!
 
Siwezi kusema kuwa ni tamaa ya mwili kuna watu wana hulka tu za ajabu yeye hata mume/mke amfanyie mazuri yapi still ataenda nje ya ndoa watu hawana uvumilivu na ndoa zao,watu hawaheshimu ndoa zao

Sasa kama mtu hajaridhika na mambo ya kidunia kwanini amtulize mwenzake huku yeye akitapa tapa kila kona ya mji?Kwanini asisubiri atakapokua tayari kutulia?
 
Back
Top Bottom