Inakuaje mtu anaogopa ofisi yake halali?

mchovu wa fikra

JF-Expert Member
Jul 16, 2016
335
393
upload_2016-9-29_8-23-53.jpeg

tuipe jina gani hii?
 
Sina imani tena na ma profesa na ma dokta wa tz kwa na huyu Lipumba, then Mwakyembe, muhongo,,,,,,,
 
Duh, nimechekaaaa ni balah! Yaani Prof kafikia kuishi maisha hayo kisa kuwafurahisha Lumumba!! Kwa usomi huu nani ataikomboa Afrika! Je kuna tofauti ya huyu na Mangungo wa Msovero!?
 
Back
Top Bottom