inakuaje mnapo anza mahusiano wewe na mpenzi wako hata wiki haijaisha anaanza kukuomba pea na tena m

prianka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
684
168
inakuaje mnapo anza mahusiano wewe na mpenzi wako hata wiki haijaisha anaanza kukuomba pesa na huyo anaye kuomba ni mwanaume nisaidien jaman
 
Kwani terms zenu kipindi mnaanzisha hayo mahusiano zikoje?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Inategemea na jinsi mlivyo anzisha uhusiano wenu, kwani mahusiano mingine inaanzishwa na pesa na iliisonge mbele inabidi pesa itumike,
 
mbona wadada siku hizi anakutana na mtu asubuhi, saa 6 keshapiga mzinga mtakatifu, huyo amevumilia wiki moja, mbona ni mstaarabu tu!! ni fair play nadhani siku hizi. si wakina dada tu wa kupiga mizinga, hata wakaka nao wamo! hivyo tuvumiliane bi dada!
 
inakuaje mnapo anza mahusiano wewe na mpenzi wako hata wiki haijaisha anaanza kukuomba pesa na huyo anaye kuomba ni mwanaume nisaidien jaman

Na hilo ndilo tatizo lenu_mkiombwa full kulalama,nyie kwa mizinga hamjambo...nimeipenda sana hii style ya mshikaji i.e unaanza mahusiano na msichana then unamshindilia na bonge la mzinga...akikunyima then ngoma droo_kamwe naye hatakuomba...we call it'defensive mechanism'.
 
Tooo much!!!je ucngeanzisha uhusiano ungeomba wapi!!!kujiendekeza kuombaomba co kbs...jitume !!!
 
mbona wadada siku hizi anakutana na mtu asubuhi, saa 6 keshapiga mzinga mtakatifu, huyo amevumilia wiki moja, mbona ni mstaarabu tu!! ni fair play nadhani siku hizi. si wakina dada tu wa kupiga mizinga, hata wakaka nao wamo! hivyo tuvumiliane bi dada!
Mkuki si unajuwa ni kwa nguruwe tu? Mie hata masaa sita hayakufika tayari nikaletewa orodha ya vitu vinavyotakiwa ...
 
Kwani mtu anapokuwa na shida na anaamini unaeza msaidia as mpenzi wake (haijalishi ni jinsia gani) kuna masharti hata km mlianza mapenzi jana?
 
huyo mwanaume ni tapeli, shida yake ni pesa na anatumia mapenzi kama silaha.....shtuka......
 
inakuaje mnapo anza mahusiano wewe na mpenzi wako hata wiki haijaisha anaanza kukuomba pesa na huyo anaye kuomba ni mwanaume nisaidien jaman

NA WEWE MUOMBE PENZI KINYUME NA MAUMBO. Mianaume mingine hovyo kabisa
 
huyo mwanaume ni tapeli, shida yake ni pesa na anatumia mapenzi kama silaha.....shtuka......

utapeli wake uko wapi jamani, kama bi dada yuko vizuri kwanini asiombwe kidogo? binafsi nimependa iyo situation..
 
inakuaje mnapo anza mahusiano wewe na mpenzi wako hata wiki haijaisha anaanza kukuomba pesa na huyo anaye kuomba ni mwanaume nisaidien jaman

umeona inavyo kera enh....basi na sie wanaume tunakereka hivyo hivyo mnapo anza mizinga yenu...mara vocha mara shopping mara kodi
 
mambo yamebadilika
577284_355960817825173_671754966_n.jpg
 
nina hamu ya kumpiga mtu mzinga....mizinga kiukweli ina raha yake cause unafeel kupendwa.mwanamke care etiii!
ila haki ya mungu mwanaume akinipiga mzinga tena ndani ya wiki LOH mkosi gani huo...kimbia kimbia
tena ashindwe kabisa loooh! usimpe hata mia
 
Mkuki si unajuwa ni kwa nguruwe tu? Mie hata masaa sita hayakufika tayari nikaletewa orodha ya vitu vinavyotakiwa ...
damu ya baba mwanasha aka mzee wa kuhemea itatufuna milele, saa hii yupo new york kenda omba! yaani ni mizinga kuanzia rais mpaka watu wa chini! nchi hii, tufiakwa!
 
Back
Top Bottom