Inakera sana!

Mercy Clara

Member
Mar 11, 2010
16
0
Habari wana JF!

Jamani wananikera wale watu ambao wakiona ndugu yao amefariki ndio wanajitia kiherehere cha haraka kuanza kuanza kufuatilia mali za ndugu yao huku wakijua ameacha familia yaani mke na watoto au mtoto. Na kipindi chote cha uhai wake hawakusaidia kutafuta ila sababu amekufa ndio wanataka wajipatie utajiri kwa kifo cha mwenzao. Hii tabia ikomeshwe mara moja.
 
Washindwe kisha walegee na kisha .... basi inatosha
 
Omba Mungu yasikukute.... esp huyo marehemu awe na ndg wengi.........kila mtu huwa nakuja na lake...... Ila ufumbuzi ni mmoja tu..make sure uwe umeandika wosia.....Swali wewe je umeshaandika wosia?????
 
hawa wamelaaniwa na mungu atawapanish,waliowengi wanakula hela zote na matokeo yake watoto wanaangaika tena saana.Tuache hii tabia,na zuri zaidi wosia ni muhimu saana wakubwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom