Dilunga
JF-Expert Member
- Apr 8, 2009
- 679
- 49
Makampuni yalipewa onyo na Benki Kuu yasi quote dola, inadidimiza thamani ya shilingi, si uzalendo, na ni illegal.
Mchana kweupe. Kwa jiografia yangu hapa ni Salender, makutano ya Ally Hassan Mwinyi na Kinondoni Road, pembeni ya makazi ya balozi wa England, njia panda ya kwenda Oysterbay in the ocean background. Wakulu wote wa Hazina, BOT na serikali nzima wamepita hapa leo asubuhi, wamepita jioni, wanayaona haya, lakini ni kama ukanda wa milima ya Kandahar, Afghan huko hakuna serikali, chochote cha mbele. E bana eeeh, siku wakithubutu kunipa mtu kaa mimi manguvu ya kuadhibu Watanzania mbona watanipindua ndani ya siku 90
Watu wa Precision Air wakitangaza biashara kwa fedha za kigeni
na kibango kimoja cha shilingi cha kuzugia.
(Picha toka tovuti ya Mhariri wa Upiga Picha wa gazeti la serikali, Daily News)

Last edited: