Inaingia inatoka

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Inaingia ....
Inatoka........
Inaingia
Inatoka,
Huku miguu,
Ikichezacheza mikono nayo ikipapasa papasa,.... akimaliza...... kiuno hoi
Du! Fundi Cherehani bwana ... anakazi kweli!
 
Inaingia ....
Inatoka........
Inaingia
Inatoka,
Huku miguu,
Ikichezacheza mikono nayo ikipapasa papasa,.... akimaliza...... kiuno hoi
Du! Fundi Cherehani bwana ... anakazi kweli!

ha ha ha ha haya we
 
kizazi cha nyoka kimetoka wapi tena? ww ndiye unamawazo ya ukahaba cz mada ni fundi cherehani ww mbona unaforce mengine?
 
ebwana noumeeerrr,,,,,niishaanza kuwaza kwanini hawajaitoa thread yako,maana hawachelewi..sijui hata wanalalaga saa ngapi
 
Back
Top Bottom