ina ukweli wowote

I think this is true! and she has to me sure he is geting every kind of taste...and he has to be free kumpindua kama samaki! great nyt u know
 
mmmmhhh huo usemi ni kweli
lakini depends with individual....

mie binafsi one man sawa kabisa hapo kwenye kwenye night nta badilisha kidogo...:party:
 
ni sanaa tu na ufundi wa lugha. the word woman is not an abbreviation, a woman as a person remains to be a woman in reality, a co-partner of man everyday (day and night) to the end of the ages
 
Kwako nafikiri ndoa ya mume mmoja hutaiweza au sio???
Karibu sana,hakuna anayependa kubadili kama anapata taste ambazo ndo anazifuata huko nje so kama unaweza kunipa zote mwenywe,mi ntafurahi sana.Ila zisiwe kinyume na maumbile,manake wanaume wa siku hizi bwana???????????
 
Jamani wandugu, nami japo mgeni naomba nichangie, mie kwa mtazamo wangu, unapashwa ujiamini kwanza na pia kama hauridhiki na kile ukipatacho hauzuiwi bwana kutafuta raha uipendayo maana utamu wa muwa aujuaye mtafuna na utamu wa mwanamke au mwanaume ajuaye ni mlaji au mliwa( if u do me i do u) hapo ndo utajua utamu.
mie nakuachia kwani weye wajua utamu upatao unapo du na mtu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom