Ina shangaza sana

huyo atakuwa anakuchakachulia mkeo

Naunga mkono hoja. Kwa hiyo anamchora jamaa kwa kumuuliza uliza, hili jamaa aseme wife hawezi kutoka nje ya ndoa kabisa, wakati yeye alikuwa nae kimahaba huyo anayesifiwa labda muda mfupi kabla ya kukutana hapo bar, yaani haya maisha haya sijui 2.
 
Huyo jamaa atakuwa anajua mtu ambaye anachakachua huyo wife wa jamaa,,,
 
Huyo mke wa jamaa(umesema alikuwa naye pembeni) atakuwa kamwambia neno mumewe kuwa mke wa rafiki yako ana.....
 
unaondoka,kama hana topic ya maana hafai kuwa karibu naye!
OR
kama ni rafiki yako na mna fahamiana for long hajawahi kuonesha hiyo tabia muoneshe sura ya kiume na kataa topic za kufunuana nguo hizo ni upuuzi.
 
Hivi mtu umeendazako bar
Unapata kinywaji na washkaji
Mara mmoja anaanza kukuuliza maswali juu ya mke wako
ooh Je unamwamini sana..?
ooh mkeo ni mtakatifu eeeh?
ooh mara mkeo sijui vitu ganii..?
Yaani maswali juu ya mkeo tu!!!!1

Huyu mtu utamchukuliaje??
Au uta mfanyaje?
Maana umeshamwambia mie sipendi kuulizwa maswali au kuongelea mambo ya wake zetu bar
Lakini anaendelea.....

Sometime anaweza kuwa kamuona anafanya kitu cha ajabu so anaanza kwa kukuuliza ili ajue wewe unamwona vipi siku hizi kabla hajaanza kushusha umbea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom