Az 89
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 1,658
- 691
Nimeshangazwa sana na hii hali ya kutoa tenda kwa wachina wakati kuna wataalam kibao kutoka COET-UDSM....kuna ujenzi wa student centre unaendelea hapa chuo wamepewa Wachina, kuzungusha uzio wa Mabati hata huo nao wachina! Hivi kuna haja gani ya kuzalisha wahandisi wasiotumika? Hili linakera sana..