Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
Daily nashinda net kwa ajili ya kusoma forums mbalimbali zitakazoniwezesha kuccm (chaka chua modem) yangu huawei 153u-2 lakini cpati kabisa.Vp wadau kuna aliyefanikiwa?
Mkuu mbona simple sana, but ni temporary unlock.
Daily nashinda net kwa ajili ya kusoma forums mbalimbali zitakazoniwezesha kuccm (chaka chua modem) yangu huawei 153u-2 lakini cpati kabisa.Vp wadau kuna aliyefanikiwa?
unafanyaje mkuu!
umejaribu kukonekt na nokia pc suite?
search google for e153 express unlocker. utapata kafaili kadogo sana. una kiclick tu kina i unlock yenyewe. angalia hata youtube andika: e153 express unlocker
kuna software moja inaitwa huawei unlocker, ndiyo utayotumia, but isake hapa jamvini ipo mi mwenyewe natumia hizo modem unazohitaji usaidiwe kwa line zote bila usumbufu. Kuna procidure tano za kufuata 1. select port to device manager 2. Refresh 3. Select your model, then calculate it will be unlocked temporary so simple mkuu just try ukifail usikawie kurudi.
ngoja nijaribu hapo