In ze classrum

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Wakati wanaendelea kutoleana vitendawili, mwalimu ilimbidi atake kumzuiya mwanafunzi kabla ya kutenda utovu wa nidhamu lkn mwanafunzi ilimbidi atowe jibu kabla ya kuzuka tafrani.

Ilikuwa kama hivi:
Mwnfnz: Kitendawili
WANAFUNZI: Tegaa
Mwnfnz: Nivue nguo niwape Utamu
MWALIMU: Mshenzi wewe acha kutukana
Mwnfnz: Mwalimu hata we hujui, Jibu lake ni NDIZI !
 
Hahahahaaaa.. kweli ukiimenya ndizi iliyoiva vizuri ni tamu sana.

mwanafunzi kajichukulia kama yeye ni ndizi, kuvua nguo ni vile kuondosha maganda ya ndizi na utamu ndo ile ndizi yenyewe...!
 
mwlmu naye kwa haraka!angesubiri apewe utamu

huyu mwalimu naona alikuwa ni ktk wa wa teaching practise tena nadhani alikuwa ni mwanamke, kiasi awe na haraka na haraka yake ilisababishwa na hofu
 
Ha ha haaaa, huyo mwalimu aliogopa mwanafunzi kuweka mambo hadharani... na mwanafunzi kaonesha kuwa yeye ni genius!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom