In Pictures; Nape Nnauye at Leadership Institue Washington DC

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
NAPE NNAUYE AT LEADERSHIP INSTITUTE WASHINGTON DC

Written by haki | // 0 comments

100_1391.jpg

CCM Ideology and Publicity Secretary, Mr Nape Nnauye in Washington
100_1379.jpg

CCM Ideology and Publicity Secretary, Mr Nape Nnauye(Right) with friends in Washington
100_1383[1].jpg

CCM Ideology and Publicity Secretary, Mr Nape Nnauye(left)inside Leadership institute in Washington

IMG_1829.JPG

Ubalozini Raha...

Email ThisBlogThis!Share to Twitter
 
Is this the trip which will take him to CCM - Houston to resolve their PARTY UFISADI's???
 
Very Tech Nape Nnauye -- Playing with one of Steve Jobs new Toys... Mmmm DID CCM Pay for that?
 
Wajameni, I can see potentials in this guy, akijengewa uwezo, atapunguza kuropoka and we can get a very good refined future leader aliyepitia tanuru la moto wa JF!.
Naombeni sometimes tuwe wakweli katika nafsi zetu, sio kweli wana CCM wote ni wabaya kihivyo na Nape ni moja ya mifano hiyo, anauchukia ufisadi toka moyoni mwake very genuinely, na kama atafikia mahali, akaanguka, basi tujue ufisadi umetamalaki CCM kila kona mpaka wasafi wachache Nape akiwemo, watachafuliwa!.

Nape najua unasoma hapa, umebarikiwa kuwa na kipaji cha uongozi, kwanza hongera kwa kupanua exposure yako, sasa nenda kwenye vikozi vifupi vifupi vitakujengea uwezo wa kumiliki kauli zao kujua wapi useme nini na wakati gani, CCM itakuwa imepata watu watakaofanya reforms from within, mtyu kama wewe, ukiteam na kina Bashe, wale vijana wa UV CCM wenye mwamko, na waheshimiwa kama kina Dr. Kingwa na Deo Fulikunjombe etc, ndio watakaokuja kukinusuru chama chenu, vinginevyo down the drain mtakwenda na maji!.
 
UNADHANI UNAWEZA KUGEUZA MAJI YA CHUMVI YA BAHARI KWA KUMIMINOA JAGI MOJA LA MAJI BARIDI!????????

Kwa sasa hivi, kila kijana msomi aliye CCM anafanya kazi kwa maslahi binafsi!!!!! HUYO NAPE AJE CDM........HUKO NI KUPOTEZA MDA TU.
 
Ccm ni chama kama vyama vingine so kama kina zitto, mnyika na wengine waliopelekwa marekani na nape nae kaenda kuongeza ujuzi
 
Ni kweli kiasi, akijitahidi anaweza kuwa mfano wa vijana aliye seriuos. Hata mgogoro wake wa mwanzo na UVCCM ulikuwa wa kupinga ufisadi.Lakini tatizo kubwa ya vita hii inalenga zaidi watu kuliko ufisadi wenyewe, mfumo mzima ufisadi unautesa sana kumbe vita ikilengwa katika mfumo wa ufisadi, mafisadi husika watateketea kirahisi sana. Hawa vijana wanaonekana kama hawalengi mfumo wa ufisadi bali maslahi binafsi na kulipa visasi vya kisiasa. Fisadi bado haijulikani atafanywa nn baada ya kujivua gamba, ama atathibitiwa vipi ili asiambukize na kuendeleza ufisadi, kifupi kujivua gamba bila hatua nyingine zaidi ni kuendeleza ufisadi na mfumo wa ufisadi, na hili Nape inabidi alijue katika vita yake dhidi ya Ufisadi
 
NAPE anakubalika sana ila Chama chake ndicho kinacho muua kabisa maana ktk viongozi wote wa juu kama yeye hakuna anaye jitokeza hadharani na kumuunga mkono

SS anjitahidi lakini naye alipoteza dira bungeni kutetea posho na kuwaponda wapinzani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom