IN PICTURES LIVE TOKA KARIMJEE - Buriani Dada Regia Mtema

Hizi Picha quality yake mbovu sana! Tunaomba mwenye picha nzuri aziweke na areplace hizi zilizopo!!

Akili kama hizi za Rejao zinafanana na watu ambao wanakula chakula wanashiba, wakishashiba wanaanza kusema chakula cha leo kibaya sana. Wakati huo huo wana njiti midomoni!

 
Mkuu El Toro....................................! Heshima kwako......................................!
Siamini kuwa huyu dada katutoka aisee......................yaani kama masikhara wallah..........................
 
View attachment 45592

Invisible umekaa hapo mbele na unachezea simu kuangalia update za JF wakati PAW amekaa kiheshima.

RIP Dada yetu Regia Mtema, tutakumis mno na umetuachia majonzi ndani ya mioyo yetu na hatuto kusahau kamwe kwa mchango wako kwenye Taifa letu.
 
Ahsanteni sana El Toro na wadau wengine mliotuwezesha kuona hizi picha. Na pia kwa kutuwakilisha!

Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya dada yetu Regia.....

Marehemu wote wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani.....AMINA!!
 
Mwili wa marehemu REGIA ulipopokelewa jana usiku IFAKARA na wananchi dah kweli mtu wa watu ni wa watu tu,

ifakara+1.jpg
ifakara.jpg
ifakara+5.jpg
ifakara+4.jpg
ifakara+3.jpg
ifakara+2.jpg


PICHA kwa mujibu wa MJENGWA Blog.
 
attachment.php

Invisible umekaa hapo mbele na unachezea simu kuangalia update za JF wakati PAW amekaa kiheshima.[/SIZE]

RIP Dada yetu Regia Mtema, tutakumis mno na umetuachia majonzi ndani ya mioyo yetu na hatuto kusahau kamwe kwa mchango wako kwenye Taifa letu.
Kumbe huyo anayechezea simu ndio Invisible na Max ndio yupi hapo?
 
El Toro, tunasukuru sana kwa updates hizi, Mungu akubariki sana, angalau hata sisi tulio mbali tumeweza kuona safari ya mwish ya mpendwa wetu. Keep it up.......

R.I.P Regia!
 
attachment.php


Kumbe huyo anayechezea simu ndio Invisible na Max ndio yupi hapo?

Max ni huyo jank kembamba mwenye ndaba za miaka 47 na kichupa cha maji cha shingi 350,katundika daluga a.k.a mawani ya macho kifuani....mwenye swali??
 
Wakuu mie nilisema je nitamuenzi vipi dada yetu mpendwa humu alietutoka kwa masikitiko makubwa? 1. Kuhudhuria kwenye kutoa heshima za mwisho 2. Kutumia kipaji changu cha matukio-picha kuchukua baadhi ya picha kwa manufaa ya ambao hawakupata fursa ya kuaga.

Kwa kweli najisikia faraja sana nimefanikiwa kwa hayo malengo mawili na angalau nimemuaga dada yetu mpendwa hivyo angalau simanzi na majonzi makubwa niliyonayo yamepungua kwa kiasi fulani.

PICHA nimepiga kwa kilonga longa changu cha mchina ambacho kimejitahidi kwa kweli kuwapa japo kwa muhtasari kilichotokea pale KARIMJEE....
Bwn ElToro ahsante kwa picha nzuri saana ulizoleta tena umepiga na Kilongalonga vizuri saana!!!!! Huyo Rejao aende alete mpiga picha wake amsaidie bomu kweli kweli!!!!!!

 
Ama kwa hakika dada yetu mpendwa ulipendwa na wengi kama sio wote UPUMZIKE KWA AMANI, Tilikupenda sana japo MUNGU amekupenda zaidi. AMEN


attachment.php


Watu mbali mbali wa rika zote, wanasiasa, wasanii, viongozi wa serikali na wananchi kwa ujumla walifika kwa majonzi makubwa kumuaga dada yetu hizi ni picha nilizofanikiwa kuzipiga katika tukio hili la kusikitisha tangu mwaka huu wa 2012 uanze;


attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php


attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
Hizi picha bomba saana ndugu yangu mtu asikukatishe tamaa El Toro, je hujaenda Ifakara maana tungefaidi pia!!!!!! Member wa JF atakaye kuwa Ifakara bila shaka atatuletea yaliyojili huko!!! Poleni saana wapendwa JF MUNGU ana mipango mingi, matokeo ya jambo hili yapo yanakuja!!!!!!!!!!

 
Hizi picha bomba saana ndugu yangu mtu asikukatishe tamaa El Toro, je hujaenda Ifakara maana tungefaidi pia!!!!!! Member wa JF atakaye kuwa Ifakara bila shaka atatuletea yaliyojili huko!!! Poleni saana wapendwa JF MUNGU ana mipango mingi, matokeo ya jambo hili yapo yanakuja!!!!!!!!!!

Sikupata fursa ya kwenda huko wenzetu wengine walituwakilisha mkuu, Thanks.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom