IN PICTURES LIVE TOKA KARIMJEE - Buriani Dada Regia Mtema

"Atafuta kila chozi kutoka katika macho yao, na kifo hakitakuwapo tena, wala maombolezo wala kilio wala maumivu hayatakuwapo tena."-Ufunuo 21:4
"Wale wote waliomo ndani ya makaburi ya ukumbusho watatoka"-Yohana 5:28,29
 
Wewe kwanini hukwenda kupiga?:photo:

Rejao................. hebu tuwekee ulizopiga wewe ndugu yangu.!!!
Nipo ughaibuni na marafiki zangu na wamekuwa interested kufahamu kinachoendelea nchini kwangu. Baada ya kuwapa taarifa za msiba tulio nao na kuziona hizi pics, kila mtu amebaki akishanga!! Hizi pics hazina hadhi ya JF, ni za low quality sana! kwanini hata tusingemuambia Michuzi atusaidie kwa hili?
 
Michuzi anafanya shughuli za CCM tu.......leo hata hivyo kajitahidi....haya wape hao ''rafiki'' zako

matukio-michuzi: MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU REGIA MTEMA KARIMJEE DSM LEO, KUZIKWA KESHO IFAKARA
 
Safari ya Regia Mtema
Nenda kapumzike salama,
niwito wake yeye Maulana,
Kampuzike Reji Mtema.

... Salamu ukiweza zifikishe,
kisha nawe ukajipumzishe,
Nyerere nenda mfahamishe,
Tanzania ya sasa ni kasheshe.

Kero za walalahoi balaa,
Ufisadi anaushambulia Slaa,
Regi kapumzike shujaa,
Mroki nitakuja ufikapo wasaa.

Wengi tunakulia Kamanda,
Mbowe, Zitto,Mdee walikupenda,
Kikwete, Shein nae spika Makinda
Bila kusahu Makala,Nkya na Pinda.

Naishia hapa Father Kidevu,
Machozi yapo kwenye ndevu,
Hatutapasahau ajalini Ruvu
CHADEMA tutajenga Mnara

...............na Mroki Mroki
 
Ama kwa hakika dada yetu mpendwa ulipendwa na wengi kama sio wote UPUMZIKE KWA AMANI, Tilikupenda sana japo MUNGU amekupenda zaidi. AMEN

attachment.php

Watu mbali mbali wa rika zote, wanasiasa, wasanii, viongozi wa serikali na wananchi kwa ujumla walifika kwa majonzi makubwa kumuaga dada yetu hizi ni picha nilizofanikiwa kuzipiga katika tukio hili la kusikitisha tangu mwaka huu wa 2012 uanze;

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
kwenye picha ya nne hapo!...huyo mwanamke kaja msibani au kwenye ukahaba! mm wananiudhi hawa! pambaff kabisa!
lala salama regia!
 
Nipo ughaibuni na marafiki zangu na wamekuwa interested kufahamu kinachoendelea nchini kwangu. Baada ya kuwapa taarifa za msiba tulio nao na kuziona hizi pics, kila mtu amebaki akishanga!! Hizi pics hazina hadhi ya JF, ni za low quality sana! kwanini hata tusingemuambia Michuzi atusaidie kwa hili?
Ukipasua nazi, you are bound to get something in there.......kama ni koroma, there will always be a vacuum....... isn't that something?
 
Nipo ughaibuni na marafiki zangu na wamekuwa interested kufahamu kinachoendelea nchini kwangu. Baada ya kuwapa taarifa za msiba tulio nao na kuziona hizi pics, kila mtu amebaki akishanga!! Hizi pics hazina hadhi ya JF, ni za low quality sana! kwanini hata tusingemuambia Michuzi atusaidie kwa hili?

daaah wewe mtu wewe jamani!!!
 
Hao ni wale wenye tru IDs.......mimi na wewe hatuwezijionyesha hadharani....lakini tulikuwepo wengi tu
Ningekuwepo karibu ningehudhuria na tshirt yangu na bado nikaondoka bila mtu yeyote kujua mimi ni nani hapa JF au URAIANI. Sema tu hawakua tayari kuwakilisha kwa tshirt.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom