IN PICTURES LIVE TOKA KARIMJEE - Buriani Dada Regia Mtema

quote_icon.png
By CAMARADERIE
''Tukosoane, Turekebishane,Tuwajibishane ndipo Tusameheane - Regia Mtema JF Member''


This is what we call LEGACY!

REST IN PEACE DADA REGIA!

 
bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe milele na milele
 
Hata hivyo mshereheshaji alizomewa kidogo wakati wa kuaga mwili pale alipojaribu kujipendekeza kwa wabunge kwa kusema eti waombolezaji walio mbele watoe kipaumbele kwa waheshimiwa wabunge kwanza kuaga, watu wakamwambia hapa sio bungeni, wote hapa tumekuja kuomboleza, kama walitaka iwe shughuli ya kibunge wangepeleka hukohuko bungeni ambako sisi wengine hatufiki Lol.
 
Poleni sana wazazi, watanzania ndugu jamaa na marafi. Bwana ametoa bwana ametwaa.
 
El-Toro, ubarikiwe, hata sie ambao hatukuweza kuwa Karimjee ktk kumuaga mpendwa wetu Regia, picha zimejitosheleza.

poleni sana watanzania!

Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu pema amina.

JF nimeikubali, bravoooo.
 
Regia ! ama kweli katoa fundisho kwa watanzania wote, kuwa chama si hoja, hoja ni usafi wa moyo wako na uzalendo kwa watanzania wenzako, mapenzi mema kwa nia njema yakitendwa matokeo yake ni upendo ulio onyeshwa kwake na watanzania wote, bila kujali itikadi zao ziwe zozote zile !! mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu.
 
Hizi Picha quality yake mbovu sana! Tunaomba mwenye picha nzuri aziweke na areplace hizi zilizopo!!
 
Dada Pumzika kwa amani, naomba tuliobaki tuimbe wimbo huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom