drphone JF-Expert Member Sep 29, 2009 3,542 281 Oct 12, 2011 #1 Ktk kumuenzi steve job wachina wametengeneza casing za iphone 4 nimependa huu ubunifu kwa kweli nimeipenda sana cjui wenzangu
Ktk kumuenzi steve job wachina wametengeneza casing za iphone 4 nimependa huu ubunifu kwa kweli nimeipenda sana cjui wenzangu
drphone JF-Expert Member Sep 29, 2009 3,542 281 Oct 13, 2011 Thread starter #2 Akuna aliyependa mbona mnaangalia tu
Likwanda JF-Expert Member Jun 16, 2011 3,912 1,131 Oct 13, 2011 #3 Haya Bwana, ni njia nzuri ya kumuenzi Job.