In Loving Memory Of My Father

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Bismi Allāhi Ar-Raĥmāni Ar-Raĥīmi

(¯`·._.•In Loving Memory To My father™•._.·´¯)


Date of birth 16th June 1944

Day of death 31 August 2010




I stepped into his shoes... I become the person he always wanted me to be, standing in his workshop. The sacred place of things that could not be touched.
His private drawer of eletronics and electricity books, with things written on them. Some of them, have some marks on it.

I opened his workshop drawer tools, I saw all his tools, like multimeter, Circuit testers, pliers, Insulated screwdrivers, Electrical tape, soldering iron and all spanners, which always required his permission to touch them.

Everythings has a use...! I lift my hands and touch one of the tools, and suddenly everything comes to life as if a live dreams...! I can feel something in my broken heart...! Something I can't explain...! I think in spirit he stands inside me...!

My hand starting to shake a little...! My hands his hands... the dream remind me when my Mother told me a story when I was a toddler... Used to toddle to my fathers electronic's tools...! I will miss my father more than words will ever allow me to express. Alikuwa shujaa wangu, ngao yangu mtetezi wangu, yeye alikuwa baba ambaye alikuwa kama rafiki wa kweli, mshauri na mliwazi wangu... Babu wa watoto zangu, busara na hekima zake zimenifanya niwe mtu makini na kuhusubiana na watu vizuri...! I can find no words to justify just.

...How much I miss You..! I miss being a Daddy's only son...!


Ni baba ambaye amenifanya niwapende ndugu zangu wa karibu na wa mbali. Amenifanya niwe mwaminifu na mkweli mbele za Mungu na binadamu wengine, mkweli hata kwa wanyama... I am blessed to have had such a wonderful man for a father...!

Sikuweza kuhudhuria mazishi yake, lakini umati wa ndugu, jamaa na marafiki, wakiwemo wengine kutoka hapa JF, walihudhuria na kunipa taarifa kila lililojiri. Kwa kweli nilifarijika sana sana, kiasi ya kutokwa na machozi...!

Umati ambao sikuwahi kuushuhudia maishani mwangu kwa ordinary man like my daddy kuzikwa na watu wengi kiasi kile... Kwa kweli sina cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea dua, njema na Mwenyezi Mungu ndio atakaye walipa.

Hakika Mwenyezi Mungu amesema kweli kuwa ...ameumba mauti na uhai ili kutujaribu ni yupi miongoni mwetu atakayefanya mambo mema.

"Inna-kula-shay-in khalqnahu-biqadar"

Qamar-49

DUA
“Amani ishuke juu yenu watu waliotutangulia walio waumini, nasi apendapo Mwenyezi Mungu tutakutana nanyi, tunamuomba Mwenyezi Mungu atusamehe, sisi na nyinyi.
Na Mwenyezi Mungu awarehemu wa mwanzo na wa mwisho wetu namuomba Mwenyezi Mungu atupe sisi afya njema na siha njema.”
Amin


Dua hii iwaendee wote walio ondokewa na wazazi wao, ndugu na jamaa wote waliotutangualia Insha'Allah Mwenyezi Mungu atuwafikishe dua hii iwanufaishe maiti wetu.
Hakika Mtu mwema ni hai hata kama atahamishwa katika makazi ya wafu.



X-Paster



 
Pole mkuu! Ndio maisha na ahadi zake kwa watoto wote wa Mwenyezi Mungu. Siku moja kwake lazima tutarudi
 
Pole mkuu! Ndio maisha na ahadi zake kwa watoto wote wa Mwenyezi Mungu. Siku moja kwake lazima tutarudi
Ni kweli kaka, Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea.

Nashukuru sana ndugu yangu.
 
Ahasante Afrodenzi, Thanx very much.

Yaaelekea baba alikuwa a perfect (role model )
Kaenda nyumbani tu..
Na si sote tunaelekea huko..
Alikiwa anakuangalia tu wakati unagusa zile
Tools .. nakutabasamu huku akisema I have a
Perfect son......
Take care for now.
.
 
Maneno yako yana hisia sana!

Mshukuru Mungu kwa kukupa muda wa kukaa na kumjua baba yako,uuenzi muda huo kwa kushukuru na kuwa baba mzuri kwa watoto wako; kuwa baba hasa kwa yatima (wasio na wazazi)

Mungu awape pumziko la milele wote waliotutangulia!
Amen!
 
dah umeitoa machozi ndugu yangu,na mimi nimempoteza my beloved dad like 3 weeks ago,died at the age of 58 i feel like he left us too soon.wherever he is,dad i love u so much.may you rest in eternal peace.
 
Pole sana mkuu,

Namwombea kwa Mungu aendelee kuipumzisha roho yake mahali pema peponi.

Sote tu safari moja, inshallah tutaonana siku ikifika.
 
Innalillah wainailaih raj'uun. He is in a better place watching his son proudly and happily knowing you have never let him down.. Pole sana XP.
 
Yaaelekea baba alikuwa a perfect (role model )
Kaenda nyumbani tu..
Na si sote tunaelekea huko..
Alikiwa anakuangalia tu wakati unagusa zile
Tools .. nakutabasamu huku akisema I have a
Perfect son......
Take care for now.
.
Oooh! My dear, hayo maneno umenifanya nilengwelengwe na machozi...!

Thanx...
 
Dah nimesoma mpaka machozi yamenitoka aisee. Mshukuru Mungu kwa kila jambo
Nashukuru kwa kila jambo ndugu yangu, tuwapende wazazi wetu, haswa walio tulea, wakitangulia ndio basi tena itabakia like a stain in your heart. And how do you erase them from your heart?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom