In love with two guys...advice please!

wewe mtoto bwana haiwezekani kuwa na upendo sawa kwa watu wawili kwa wakati mmoja, sema unampenda mmoja mwingine unamuonea huruma, sasa hiyo huruma ndio itakayokuponza, ushauri wangu sikiliza moyo wako tu hakuna kingine ukijisikia kuwatest wote its up to you
 
habari wapendwa wanajamvi,
naombeni ushauri maana nipo njiapanda pale nilipojikuta nikiwapenda watu wawili kwa wakati mmoja.sijawa na mahusiano rasmi na yeyote kati yao lakini ni marafiki nilionao karibu na wote wananipenda na wameonesha nia ya kuwa na mimi zaidi ya urafiki.i can't decide who to be with.i have strong feelings for them both na i can see myself spending the rest of my life with both of them.hivi is it possible to fall for two people at the same time???nisaidieni jamani maana i am in dilemma na inaniumiza sana.nimeshindwa kuchagua mmoja sababu nawapenda wote sana!
We unatuzingua,unajifanya umependa wote sasa sisi tukushauri nini?? Kama unawapenda wote basi watumikie wote,atakaekataa utakua umepata wa kubaki nawe.
 
Uhuni tu huna lolote, unapendaje wanaume wawili kwa wakati mmoja , labda mmoja buzi mwingine wa starehe. pole bi dada
 
wacha kutudangany labda kama haujakua. acha tamaa za kuolewa/kuoa. utachanika msamba mdogo angu. kama ni umalaya safi...ongeza hata 4
 
habari wapendwa wanajamvi,
naombeni ushauri maana nipo njiapanda pale nilipojikuta nikiwapenda watu wawili kwa wakati mmoja.sijawa na mahusiano rasmi na yeyote kati yao lakini ni marafiki nilionao karibu na wote wananipenda na wameonesha nia ya kuwa na mimi zaidi ya urafiki.i can't decide who to be with.i have strong feelings for them both na i can see myself spending the rest of my life with both of them.hivi is it possible to fall for two people at the same time???nisaidieni jamani maana i am in dilemma na inaniumiza sana.nimeshindwa kuchagua mmoja sababu nawapenda wote sana!
you cant have two Christmas in one year-angalia tena na tena uchague mmoja
 
Haya umesema wanakuonyesha wanataka kuwa nae omba Mungu wasiwe wanataka kukupitia njia tu.

Pia lazima kuna tofauti kati ya hao ambazo utapenda na hautapenda ok?

Kwa hiyo labda jaribu kuwajua kizaidi kabla ya kuamua kutoka nao as kutoka na mtu sio kukimbilia kulala nao

Ushauri wangu huo dada, jiheshimu pia ni muhimu

Na pia usidhani wanakutaka kama haujaambiwa nao
 
nakhisi huna udogo wa hivyo kwa kutojua kuainisha kua nani kati yao anakupenda zaidi,chagua mmoja tu ili uishi kwa amani na kutokua na msongamano wa mawazo katika kichwa chako,lau kama unakhisi wote wanakuchanganya,hapana shaka waweza kuja kwangu tu,KARIBU SANA.
 
Back
Top Bottom