mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
most men these days are civilized and they do listen to their wives. Good communication is always important in a rshp
.....aisee... Naomba ni print nikampelekee mamsap bana. I hope kwa somo hili atafunguka zaidi bdala ya kumtaja 'yethu' mwanzo mwisho
Mmh kumbe kwenye ndoa ndo kulivyo!bora huku nje ya ndoa hakuna kubakana mtu anatanguliza barua ya maombi kwanza lol!
Mkuu Mbu mpelekee tu shemeji ili afungue macho ...ila akianza kuomba mikao fulani fulani usianze kumdodosa tena kwa maswali mengi hata akaogopa kujiachia kwa raha zake.
.....hahaha, kaka...nikimfanyia hivyo nitakuwa na hila bana....hii tuition na homework zake shurti vigezo na masharti vizingatiwe....ikiwemo nami kujibu maswali ya hapo kwa papo nimejifunzia wapi 'mauchafu' haya....
....mwanajamiiOne una ma-eksipriensi wewe kha? ....natamani kukujua aisee, naweza kuku PM nifahamiane nawe?
Hahahahahah lol! Sio machafu bana

By Mbu

....mwanajamiiOne una ma-eksipriensi wewe kha? ....natamani kukujua aisee, naweza kuku PM nifahamiane nawe?

Una visa wewe, asa unijue mara ngapi ewe Soulmate?? hebu huko bwana............... Hivi mie nikazana kufikiria.....ntambana hivi, na kumbanua vile afu ufurahi mie nibaki na kiu?? aisee hapana, samahani nitakufurahisha nikitegemea kuwa nawe utaniridhisha, bila hivyo hapatalalika wala kupumzikika.

My man is the only one to satisify me, sasa nkimwonea aibu ntasaidiwa na nani? Si ndo ntaishia kusikia kilele cha kibo kwenye mabango ya Tanzania Board of Tourism? aku aisee..................
.....hahahaha....mwanajamiiOne waikumbuka ile thread yako ya juzi 'kumfumania hawara' kitanda cha ndoa? ....e bana almanusra nichomwe moto kama kibaka....kisa u soulmate!
Acha nijitie sikujui, kuna watu wanauchungu nawewe humu....lol
BAK aksante sana kwa thread nzuri. Ni kweli huyu bwana Mahimbo amefunguka haswa. Ni hali inayowakumba wanawake wengi hasa waliomo ndoani. Nimemsoma King'asti jinsi alivyoielezea hali hii kinaga ubaga, King'asti aksante sana kwa kuwasemea wanawake wengi walioko ndani ya mahusiano ya aina hii. Nina swali dogo tu, tukiachia wale wa zama zile (ambao waliolewa na waume ambao hawakuwahi kuwa na mahusiano nao kabla ya kuhalalisha) je sie ambao tunafahamiana na wenzi wetu kabla ya kuoana, hali huwaje kabla ya ndoa? Kama tunakuwa the same (yaani hatusemi pale tusiporidhishwa) iweje tukiingia kwenye ndoa tunaona ni tatizo? na je kama tulikuwa tunasema, ni nini kilitupata hata tukajikuta sasa tunashindwa kusema na kuishia kukimbilia bafuni mara baada ya kitendo??
.....hahahaha....mwanajamiiOne waikumbuka ile thread yako ya juzi 'kumfumania hawara' kitanda cha ndoa? ....e bana almanusra nichomwe moto kama kibaka....kisa u soulmate!
Acha nijitie sikujui, kuna watu wanauchungu nawewe humu....lol
.....lol, kaka humjui mwandani wangu....kama hatayaita mauchafu. Ataniuliza nimejifunza wapi 'matusi'....anyway, acha nikajilipue 'reo reo!'...
....mwanajamiiOne una ma-eksipriensi wewe kha? ....natamani kukujua aisee, naweza kuku PM nifahamiane nawe?