In Edward Lowassa, I trust...

Companero,
Hata kama uchumi wetu utastawi under Edward nakuhakikishia 50% itakuwa mali yake. Ataigeuza Tanzania kuwa Lowassa Inc. Mark my words. Lakini it is very sad kwamba Tanzania tumesink this low hata kumfikiria mwizi aliyekubuhu kutuongoza just because ana uwezo wa kuhakikisha anachotaka kifanyike kinatekelezwa. Don Corleone was also a good Catholic.
 
Kwenye hili la Richmond, mmesahau kuwa alimfuata Rais alipogundua kosa na kutaka mkataba usitishwe na kufutwa na ni Rais aliyekataa ushauri wa Lowassa kwa kisingizio eti tutapelekwa mahakama ya dunia ya biashara bila hata kuwasiliana na Wanasheria kujua tukivunja mkataba tungepata hasara gani?

waeleze Rev.maana humu watu wamejaa ushabiki na chuki tu...huyu si ndo alivunja mkataba wa city water mbona hawakushangilia ?mi ntapigana hapa JF maana watu wanabishana ili mradi tu
 
Rev. unamtaka Lowassa katika nafasi gani?

Nyani,

Lowassa ndiye mtu mwenye sifa ambazo Mwanakijiji anasema tunahitaji mtu fyatu.

He never begs for accountability, he demands it. He is not soft on addressing malaise and irresponsibility, he takes action and people are not only fearful of him but the repurcussions of not doing what they are supposed to do.

Look at Kikwete, he begs for people to go to work, he begs for people to be acountable.

Look at Pinda, always whining like a Sissy with no authority behind his oath.

Let Lowassa take over 2010 and you will see safari ya maendeleo. I tell you kwanza Ubangaizaji utakoma, mipango ya maendeleo itafufuka na hakutakuwa na Uongozi ulioko Likizo the way Tanzania imekuwa likizo tangu February 2008!
 
Kweli Tanzania ndio maana bado Masikini ikiwa hadi baadhi ya members wa Home Of Great Thinkers wanashindwa kung'amua ni nani asiefaa kwenye uongozi Tanzania, hivi mnategemea mtu wa kijijini ambaye si msomi na wala hana muda wa kufuatilia maadili ya viongozi mbalimbali achague mtu anaefaa. Kweli nchi yetu imeishiwa. Ukweli ni kwamba Edward Lowassa ni mmoja wa Jambazi na Fisadi Mkuu Nchini Tanzania. Hafai kwenye Uongozi si uraiani pekee hata huko jela hafai kupewa hata Unyapara.
Nilikuwa nawaza sisi ni watu wa aina gani? sasa naamini kuwa viongozi tulio nao ni image yeu. sasa kama sisi wenyewe vigeugeu leo lowasa hafai tukatukana hapa, ushahidi ukaletwa, tukashangilia alipojiuzulu na kunywa mvinyo, leo thithi thithi tunasema anafaa. acheni tu tuwe maskini maana kwa jinsi hii ni ngumu kuendelea.
 
Pia alivunja mkataba wa DARCITY WATER bila kuogopa eti wawekezaji watafungua kesi !!. Sasa hivi kuna mikataba kibao inaendeshwa kinyume na mikataba inavyotaka, lakini hakuna jasiri anayesimama kufuta mikataba hiyo, kisa JK anaogopa kesi, EL siyo muoga hivyo, love him or hate him, the guy got balls !! which is what this country needs, strong leadership.

Kwame tuko ukurasa mmoja....leo tuongee hapa mpaka tuchoke maana watu wanma chuki binafsi sana hapa...the guy is good and he can make decisions sio Pinda hajui lolote
 
Nyani,

Lowassa ndiye mtu mwenye sifa ambazo Mwanakijiji anasema tunahitaji mtu fyatu.

He never begs for accountability, he demands it. He is not soft on addressing malaise and irresponsibility, he takes action and people are not only fearful of him but the repurcussions of not doing what they are supposed to do.

Look at Kikwete, he begs for people to go to work, he begs for people to be acountable.

Look at Pinda, always whining like a Sissy with no authority behind his oath.

Let Lowassa take over 2010 and you will see safari ya maendeleo. I tell you kwanza Ubangaizaji utakoma, mipango ya maendeleo itafufuka na hakutakuwa na Uongozi ulioko Likizo the way Tanzania imekuwa likizo tangu February 2008!

Duh! Kweli we are really confused as a nation. Mwanakijiji alisema tunahitaji mtu fyatu. Unakubaliana naye? Mimi sidhani kama tunahitaji mtu fyatu. Nadhani sasa tumefikia mahali hatujui hata tunataka nini. Tupo tupo tu ili mradi.
 
Nilikuwa nawaza sisi ni watu wa aina gani? sasa naamini kuwa viongozi tulio nao ni image yeu. sasa kama sisi wenyewe vigeugeu leo lowasa hafai tukatukana hapa, ushahidi ukaletwa, tukashangilia alipojiuzulu na kunywa mvinyo, leo thithi thithi tunasema anafaa. acheni tu tuwe maskini maana kwa jinsi hii ni ngumu kuendelea.

umasikini hauletwi na Lowassa kuwa PM au kiongozi..umasikini ni wako na utajiri ni wako...so unaposema tutaendelea kuwa masikini ni wewe peke yangu watu wanatajirika kila kukicha
 
Naanza kuona kama tumepoteza kujiamini. Tumeanza kufikiri hatuwezi kutengeneza viongozi wazuri wasio wababaishaji.Edward had his days...awe mshauri sasa. na ninahisi tatizo lipo kama ataendelea kukaa karibu na watu ambao wanaonekana ndo vinara wa kashfa za rushwa TZ.
Sitaki kuamini hatuna watu wenye uwezo wa kuiongoza vema hii nchi. Tatizo kubwa ni hao watu kupewa nafasi hiyo ya kuongoza. Wamekandamizwa hawaonekani maana kawaida yao si watu wa kupiga blah blah
 
Kweli Tanzania ndio maana bado Masikini ikiwa hadi baadhi ya members wa Home Of Great Thinkers wanashindwa kung'amua ni nani asiefaa kwenye uongozi Tanzania, hivi mnategemea mtu wa kijijini ambaye si msomi na wala hana muda wa kufuatilia maadili ya viongozi mbalimbali achague mtu anaefaa. Kweli nchi yetu imeishiwa. Ukweli ni kwamba Edward Lowassa ni mmoja wa Jambazi na Fisadi Mkuu Nchini Tanzania. Hafai kwenye Uongozi si uraiani pekee bali hata huko jela hafai kupewa hata Unyapara.

GQ,

Tatizo lenu/letu ni kutafuta Yesu au Mohammed. Hao kamwe hawatatokea.

Kwanza tunadai tunataka msomi, wako kina Chenge, Mkapa, Lipumba, Marehemu Balali, na wengine wengi waliosoma vyuo nondo kuliko kina Nagu, Kamala na Matayo na Udakitai wao.

Lakini mpaka leo hii, [amoja na usomi wao, matokeo ya kazi zao ni karibu sifuri, hayana long term impact katika jamii au mfumo wa kujiendesha au uzalishaji mali!

Tatizo si msomi au mnajimu kung'amua. Tunachohitaji ni mtu ambaye akitoa agizo au amri, litafuatwa na kutekelezwa, hata kama matokeo hatutayapenda au hatutayataka.

Leo hii tunampa Lowassa hukumu kutokana na kesi moja tuu ya Richmond, ambayo ilikuwa na Baraka za Rais.

Ilikuwaje basi tukampa nchi Mkapa ambaye alikuwa kimya kama kubwajinga akawa Rais wetu? au Kikwete ambaye tulikuwa tunajua hata kuhamasisha hana uwezo na yeye ni mkao wa kufurahisha watu kama kina Sinclair alikokufanya tangu 1988?

Edward can work his a$$ off and trust me he can deliver better than anyone who is thinking of becoming Rais wa Jamhuri.

Angalia alivyompiku Trekta ndani ya Chama n ku-mobilise CCM nzima iko nyuma yake. He is tactician, creative and persuasive ndio maana 75% ya NEC na karibu 65% ya mkutano mkuu wa Chama wako tayari kumfuata na kutii amri zake!
 
Viongozi Waliongoza/Wanaongoza kwa Uchapakazi Serikalini:

1. Sokoine
2. Mrema
3. Lowassa
4. Magufuli
5. Kambona
 
na hayo ndio maarifa kwa kiongozi yoyote aliye makini.kwa kuwa anajua mbinu za ushindi..huyu akigombea urais mi nampigia kura bila hata kunishawishi kwa kampeni na nyimbo za Komba
 
I ll take Augustino Lyatonga Mrema over Lowass/Pinda/Kikwete anyday....ingawaje nina wasiwasi na ufisadi wa Lowassa lakini jamaa lazima tukubali ni chapa kazi na ninaweza kumpigia kura kuliko hawa kina Pinda wa sasa!
 
GQ,

Tatizo lenu/letu ni kutafuta Yesu au Mohammed. Hao kamwe hawatatokea.

Kwanza tunadai tunataka msomi, wako kina Chenge, Mkapa, Lipumba, Marehemu Balali, na wengine wengi waliosoma vyuo nondo kuliko kina Nagu, Kamala na Matayo na Udakitai wao.

Lakini mpaka leo hii, [amoja na usomi wao, matokeo ya kazi zao ni karibu sifuri, hayana long term impact katika jamii au mfumo wa kujiendesha au uzalishaji mali!

Tatizo si msomi au mnajimu kung'amua. Tunachohitaji ni mtu ambaye akitoa agizo au amri, litafuatwa na kutekelezwa, hata kama matokeo hatutayapenda au hatutayataka.

Leo hii tunampa Lowassa hukumu kutokana na kesi moja tuu ya Richmond, ambayo ilikuwa na Baraka za Rais.

Ilikuwaje basi tukampa nchi Mkapa ambaye alikuwa kimya kama kubwajinga akawa Rais wetu? au Kikwete ambaye tulikuwa tunajua hata kuhamasisha hana uwezo na yeye ni mkao wa kufurahisha watu kama kina Sinclair alikokufanya tangu 1988?

Edward can work his a$$ off and trust me he can deliver better than anyone who is thinking of becoming Rais wa Jamhuri.

Angalia alivyompiku Trekta ndani ya Chama n ku-mobilise CCM nzima iko nyuma yake. He is tactician, creative and persuasive ndio maana 75% ya NEC na karibu 65% ya mkutano mkuu wa Chama wako tayari kumfuata na kutii amri zake!
watu wanabadilika na yeye anayo nafasi ya kufanya hivyo. Kuonyesha shaka kupo kwasababu ya yale ambayo wengi wanaamini kwa kujua au kutojua ukweli halisi. Mimi nafikiri Lowasa kama walivyo watu wengine anayo nafasi ya kutuonyesha kwa vitendo kwamba ni kiongozi ambaye anaendelea kujifunza ili aweze kuwa bora kuwaongoza watu. Ni kweli kabisa kwenye safu ya uongozi wa nchi, kama baadhi ya hawa senior citizens watakaa pembeni basi kutakuwa na shughuli ya nani awe ni kiongozi wa nchi. Kuna vacuum. Hakukuwa na succession plan nzuri, kwahiyo sasa watu wenye ujanja ndani ya system wanataka kuhalalisha watu wao hata kama ni wabovu.
Hoja yako ni nzuri ila Edward ili anibalishe mawazo ya wengi, itabidi sasa aonyeshe kwa vitendo amejifunza na hatarudia makosa. Vinginevyo kama ilikuwa kampeni ya kumchafua basi amechafuka kweli kweli na wa kumsafisha ni yeye mwenyewe kwa nia ya dhati kabisa.
 
Labda niseme hivi nieleweke.

Tatizo la Tanzania si Ufisadi, bali ni sisi watu wenyewe, tu wavivu, magoigoi na tumeridhika mno na mambo ya ajabu ajabu ambayo Serikali imelala kabisa.

Sasa jiulize kama Dar Es Salaam juzi walidiriki kukaa masaa karibu 14 bila umeme na Serikali nzima na Wananchi wanaona ni jambo la kawaida, hamuoni kuwa tunahitaji mtu fyatu ambaye akihoji ni nini kilichotokea, basi watu wataanza kubadilika?

For now Lowassa stands to be the only ideal choice we have, maana nilichokiona Tanzania hatuhitaji tena eti mtaalamu kama Ndulu au Shivji.

NIlijiuliza kwa nini Watanzania hawana mwamko wa kufanya kazi au kujitutumua? nikajiuliza kwa nini Watanzania wameridhika na shida na dhiki? Naendelea kujiuliza kwa nini Watanzania wanaendelea kunyanyaswa na Serikali na Majuha wachache wanaotaka kujifanyia mambo wanavyotaka (shida ya umeme, maji, takataka na foleni za magari)? Nikajiuliza kwa nini Watanzania hawafuati sheria au kanuni ilhali sheria na kanuni zipo na nyingi? nikajiuliza kwa nini watunga Sheria na enforcers wa sheria si makini katika kuhakikisha Sheria na kanuni zinafuatwa?

Sasa kwa kipmo hicho na wala si mambo ya Uhujumu au Ufisadi, utagundua kuwa Tatizo la Tanzania ni mfumo mbovu wa uongozi na jamii ambao unahitaji mtu fyatu na mkali ili tunyooke.

Give Lowassa 10 years and trust me we will see a big difference na ndipo sasa tuanze kutafuta watu softisofti kama Membe au sijui ni majina gani!

Mnaodai kuwa tutaendelea kuliwa, ni lini tuliacha kuliwa? Tangu enzi za Nyerere tunahujumiwa na hatujabadilika mpaka leo hii.

Si siri kila Mtanzania ni fisadi kwa namna yake moja au nyingine. Leo watu wanatoa rushwa kama ni haki yao kutoa rushwa na ni jambo la kawaida ili wapate leseni au kibali cha gari.

Watu hawafuati taratibu na sheria wti hawataki bugudha, hivyo kiulani wanatoa kitu kidogo bila hata kuombwa au kulazimishwa!

Let Lowassa take the reigns and you will se the change that we can all believe in!
 
Back
Top Bottom