In Edward Lowassa, I trust...

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
Yes, I have said it. Ili tuendelee, tunamhitaji Edward Ngoyayi Lowassa!

Ni mchapakazi, mfuatiliaji na mkali asiye na masikhara na walioko chini yake si kuwa wanamheshimu tuu, wanaogopa kushukiwa na zali kutokana na ukali na ufuatiliaji wake.

Kila kazi aliyopewa, kaifanya kwa bidii na kwa ufanisi. Kuna tofauti kubwa sana za kiutendaji kati yake na wenzake walioshika nafasi za uongozi ambazo alizishikilia.

Naamini kwa dhati kuwa ili Tanzania iweze kuamka na kurudi katika mstari ulionyooka wa kujituma, kufanya kazi kwa bidii na maarifa bora na la zaidi kwa nidhamu ili tuendelee vyema na safari yetu ya kujijenga kiuchumi na kijamii ili kuleta maendeleo ya kweli, basi hakuna mwingine zaidi ya Lowassa!

Kama unaye wa kwako, tupe jina na umnadi, wangu miye ni Lowassa!
 
Mkuu Rev. Heshima Kwanza, "siko kwenye meli yako" BSS JUDGE Salama Jabir 2009
 
Mkandara,

Unadai nimeishiwa, fafanua basi, ni vipi nimeishiwa!

Invisible, lete jina

Nguli, sihitaji abiria kwenye mtumbwi au wapagazi, najiamini....

Next....?
 
Nakuunga mkono Rev. Kuna tangible results za juhudi za Lowasa nyingi sana, sijaona matokeo ya juhudi binafsi za Kikwete hata moja.
 
Yes, I have said it. Ili tuendelee, tunamhitaji Edward Ngoyayi Lowassa!

Ni mchapakazi, mfuatiliaji na mkali asiye na masikhara na walioko chini yake si kuwa wanamheshimu tuu, wanaogopa kushukiwa na zali kutokana na ukali na ufuatiliaji wake.

Kila kazi aliyopewa, kaifanya kwa bidii na kwa ufanisi. Kuna tofauti kubwa sana za kiutendaji kati yake na wenzake walioshika nafasi za uongozi ambazo alizishikilia.

Naamini kwa dhati kuwa ili Tanzania iweze kuamka na kurudi katika mstari ulionyooka wa kujituma, kufanya kazi kwa bidii na maarifa bora na la zaidi kwa nidhamu ili tuendelee vyema na safari yetu ya kujijenga kiuchumi na kijamii ili kuleta maendeleo ya kweli, basi hakuna mwingine zaidi ya Lowassa!

Kama unaye wa kwako, tupe jina na umnadi, wangu miye ni Lowassa!

Yaani katika watu milioni 40 umekosa wengine na kuamua ku recycle from the archives? Rev. pleeeease!!!
 
Mkandara,

Unadai nimeishiwa, fafanua basi, ni vipi nimeishiwa!

Invisible, lete jina

Nguli, sihitaji abiria kwenye mtumbwi au wapagazi, najiamini....

Next....?

Kama huitaji waafuasi mbona una mcampaign hapa? au unapima upepo?
 
I concur Pastor. That guy was keeping us on our toes. And we were also keeping him in his toes. This dialectical relationship between 'us' and 'him' would have propelled our development much further. Uchumi wetu ungeendelea kupaa badala ya kutua. I say better fight the devil you know - Bring him back on board!

"Tupo Tumejaa Tele" - Edward Lowassa, the then PM
 
Sema ili uendelee wewe na siyo ili tuendelee.....! Alikuwepo madarakani lakini niliona manyaunyau tu....
 
I concur Pastor. That guy was keeping us on our toes. And we were also keeping him in his toes. This dialectical relationship between 'us' and 'him' would have propelled out development. Uchumi wetu ungeendelea kupaa badala ya kutua. I say better fight the devil you know - Bring him back on board!

"Tupo Tumejaa Tele" - Edward Lowassa, the then PM

Kweli bongo kuna leadership crisis!!!!
 
Nguli,

Namnadi ninayemuamini, nyie mnadai eti mtumbwi wangu unavuja, ndo maana nasema, sihitaji mpagazi.
 
Yes, I have said it. Ili tuendelee, tunamhitaji Edward Ngoyayi Lowassa!

Kila kazi aliyopewa, kaifanya kwa bidii na kwa ufanisi. Kuna tofauti kubwa sana za kiutendaji kati yake na wenzake walioshika nafasi za uongozi ambazo alizishikilia.

With what motivation behind Sir?

Ninafikiri anafaya kitu sahii kabisa with wrong motive toward Wanachi. Anawatakia kila la Gheri na ustawi mwema kila Mwanachi?

Malengo yake katika kuchapa kazi kwa nguvu namana hiyo ni kuondoa matabaka ya ustawi wa uchumi kwa jamii ya Ki Tz...!
 
Hapo Rev umeniacha hoi! Jana, tukisononeka na umeme wa mgao kuna mtu alinipinga vikali juu ya ubora wa Edward maana na mimi nilisema yule mheshimiwa alikuwa akisema kitu, kesho utaona kimefanyika. Ila wachangiaji wakapinga vikali kwasababu ya tabia yake ya kupenda mno mali, ikibidi hata kuuza baadhi ya watu wake maskini. Hapo chacha.
 
Lowassa is a sick story na nazadi tunapoteza muda wetu kumjadilia fisadi, jamambazi lowassa badala ya mambo ya muhimu kwa nchi yetu
 
Nguli,

Namnadi ninayemuamini, nyie mnadai eti mtumbwi wangu unavuja, ndo maana nasema, sihitaji mpagazi.

Mkuu! Ngoja atoe tamko lake Bungeni kuhusu Richmond kama nilivyosikia kwenye vyombo vya habari then from there nitapanda mtumbwi wako,......
 
Swali kwenu, je yeye Lowassa ni fanisi au si fanisi?

Je ni mchapa kazi au mbangaizaji?

Je ni mfuatiliaji au ni selule?

Je ni mfanya maamuzi bila kuogopa sura au mtu au ni mwoga akiogopa political fall out?

Kama ni tamaa za mali, au ufisadi, ni Mtanzania gani ambey si mwenye tamaa ya mali au fisadi?
 
Mkandara,

Unadai nimeishiwa, fafanua basi, ni vipi nimeishiwa!

Invisible, lete jina

Nguli, sihitaji abiria kwenye mtumbwi au wapagazi, najiamini....

Next....?

Mkuu umemeza ngapi? siamini lakini huenda kweli unatuaga kiaina, unanikumbusha Makwaya wa kuhenga na RA
 
Back
Top Bottom