In Computer security what are the objects of information system

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,036
265
Please wana forum nisaidieni objects hizo.
 
Last edited by a moderator:
Ushapewa homework sasa unataka watu wakufanyie, halafu huna hata decency ya kuliweka swali katika context na kuondoa such broadness :).

On a serious note, tupe swali zima zima, pamoja na maelezo ya mwalimu ili tuwe na uwanja mpana wa kujidai.

Unaongelea srictly software? Au unataka system nzima kuanzia data, watu mpaka ma hardware firewall mpaka ma software anti virus na encryption mapaka ma kufuli ya mlangoni?

Accordingly, cheza sana na OSI model halafu i apply kwenye security utapata majibu yote

GIYF
 
Tatizo Pundit ni kuwa nimejaribu sana kutafuta katika source mbali mbali sikupata hizo objects za information system with regard to Computer security. Kwa kweli nilichohitaji ni clue kuwa hizo objects ni zipi na hapo ningeweza kutafuta na kujua details zake toka sources mbali mbali. Kwa vile bila kujua hata unasearch kitu gani ni vigumu kujua utafutie wapi. Ahsante kwa maelezo yako. Nitaendelea kufuatilia km ulivyo nishauri.

Kwa mtu anayejua ni rahisi kuelewa lakini mimi ni mgeni kabisa katika mambo ya IT na INFORMATION SYSTEMS.
 
Information Systems is very broad and does not necessarily mean 'Computer Systems'.

Try, Management Information Systems. A good start

Or did you mean object oriented systems?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom